samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
tunaandika mengi sana lakini lazima tukubali kuna kitu kinaitwa Uumbaji wa Mwenyezi Mungu, shida zinaanzia hapa kwa jamii kijaribu kwenda tofauti nje ya huu msingi wa uumbaji..
Mwanamme ameumbwa kwa nafasi yake na Mwanamke ameumbwa kwa nafasi yake...kila mtu akienda nje ya majukumu ndio shida inaanza..
Tatizo kubwa liko kwa dada zetu au mama zetu, kupenda sana starehe, kujifanya watafutaji wa hela..na kujifanya wanaweza kusastain maisha yao...Hapo ndio shida ilipoanzia na kuanza kumdharau mwanamme..