Dah!Mapenzi yanauaView attachment 2245701
Nimefunga ya bomani mzeya kimya kimya sitaki mambo mengiMkuu umeoa lini?..wakati kila siku unacomment humu huna mpango wa kuoa kwa ss ww ni kuzichakata tuu mbususu[emoji23]
Ukifila hisia za mtu,unafumuliwa ubongo..waambie na Malaya wengine..siyo suala la faida na hasaraSikupopoi mkuu,mjadala huru huu..kuwa free mamii...
Hahah...ingekua kisa pesa hapo sawa sio kwa mapenziWanaume kama nyie ndo mnakutwaga mmejinyonga na kamba hadi mmejinyea[emoji57][emoji57]
Ndio huyo. RIP.Huyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi
View attachment 2245700
Sijui Hawa Vijana wakikua wataelewa maana ya mapenzi au ndio hawatafika ukubwani maana watakuwa wameshajiua kisa mapenzi?Wakiweza kujua hisia zinakuja,zinaishi,na zinaondoka pia wasingepaniki.. Hawajui kwamba maumivu ya kumpoteza unaempenda sio permanent huwa yanaisha kabisa.......Point sana hii Joan, mtu unapenda kilofa tu unakua kama chizi lazima uwe mzaifu na mwanaume mzaifu ni rahisi sana kucheza na hisia zake, vijana humu hawaelewi wapo wapo tu akili wamezikalia, kuna andiko linasema mwanaume mwenye wivu kwa mke wake anaingia mitegoni imagine that
Nendeni mkaolewe nawanaume nazinazi huku ukizingua ni RIPNdio shida ya kuolewa na wenye matatizo ya akili.
Nyakati za kukumbukaView attachment 2245725
Chai na kashataHuyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi
View attachment 2245700
🤣🤣🤣🤣 Mbusu ya kawaida tu. Ni yeye na wenge lake,angekuwa hata ameonja za kiarabu,kilatino Americans na watt wa Putin walai angeiona ya kawaida tu iyo mbususu. Tangiapo vyombo Kama ivyo ukienda karatu kutalii unazikuta zipo kwenye loji Kama Ile Beijing yaani ni wewe na alfu kumi mpaka asubuhi yaani watt utadhani wametoka Ethiopia. Kiukweli tz tumebarikiwa nawasihi wanaume wenzangu mfanye utalii karatu babati na kondoa ama singinda hutojutaMbususu is very expensive, huoni huyo mwenzio kaona ina thamani ya uhai wa mtu?!...
Huyo mume kwa Nini apige simu Mara 42 sijui 37?inahisi Ni mzima kweli?Mimi sikatai Kama huyo demu alizingua Sasa ndio amuue na yeye ajiue?huyo Ni ujinga na ushamba wa Hali ya juu Sana.....angemuacha angepata mwanamke mwingine tu fasta dunia has a lot to offerUnapozungumzia ishu kama hizi simama kwenye mzizi wa tatizo, kwako wewe unawezaje kupigiwa simu na mumeo zaidi ya mara 20 na usipokee kisa umechoka??
Kwako wewe unaweza kwenda sehemu ya starehe wakati mumeo amekukataza kwenda huko??
Kwako wewe umepawa ruhusa kufanya kaza nje ya mkoa unaweza kuzidisha siku ulizopewa na mumeo??
Haya turudi kwenye mstari wa hoja zako, kwa uelewa wako unapoolewa unahisi wewe utakuwa na sauti kwenye hiyo ndoa?? Kwako wewe uko radhi ufanye ujinga wa kugongwa nje kisa tu mtaachana?, unajua gharama anazotumia kukuhudumia hasa muda na mali zake katika kukuweka wewe na familia yako sawa??
Muda hauwezi lipiwa kirahisi hivyo, kuepusha hilo zogo lazima uwe mpole kwa mumea tu. Ukipigiwa simu na mumeo pokea hata kama akitukana atatukana na atamaliza kwa kukusikiliza na hivyo ndivyo tulivyo wanaume. Ni bora upate mwanaume anayekutukana kwenye hiyo simu kama umezingua kuliko aliyemkimya.
Wanawake mnapokubali kuolewa lazima mkubali kuwa mko chini ya mtu na huna mamlaka yoyote juu ya maamuzi ya familia zaidi ya ushauri kwa mumeo. Kiburi huweza kukuletea madhara makubwa sana.
mkuu hii sio sawa,futa tafadhali.Mapenzi yanauaView attachment 2245701
kama katuhamisha sisi na akina millard kwamba bint alikuwa kwake yeye kalala na hata hamfukuzi,ni dalili mbaya.Kumbeee
Na wanasema eti mama mtu nae ni sababu ya watoto kuwa na tabia mbaya ...ni kweli??
... kufumuliwa ubongo na kujifumua ubongo unaona sio jambo la hasara hilo??? eti?!Ukifila hisia za mtu,unafumuliwa ubongo..waambie na Malaya wengine..siyo suala la faida na hasara
msirahisishe mambo nyinyi,waja tunasema yasipokufika mshukuru Mungu na omba yasikukute.Huyo mume kwa Nini apige simu Mara 42 sijui 37?inahisi Ni mzima kweli?Mimi sikatai Kama huyo demu alizingua Sasa ndio amuue na yeye ajiue?huyo Ni ujinga na ushamba wa Hali ya juu Sana.....angemuacha angepata mwanamke mwingine tu fasta dunia has a lot to offer
🤣🤣🤣🤣🤣Uchoyo Uchoyo tuKwanza amekufa ameziacha hizo pesa, sasa si angemuwekea mafuta tu mwenzie ... 😁 😁 😁
Hapa walikuwa malaika. Ilo boya ni malaika swimming poolNyakati za kukumbukaView attachment 2245725
Oooh ushaanza mahubiri Tena?Ni mshamba ndio huwezi kuua mtu kisa mapenzi na ujiue kisa mapenzi.... Rubbish!msirahisishe mambo nyinyi,waja tunasema yasipokufika mshukuru Mungu na omba yasikukute.
wewe ni mjanja kuliko huyu muuza samaki aliyekwisha kutoboa???
wewe ni mjanja kuliko huyu jamaa aliyeuziwa mpaka pistol??
wewe ni mwerevu kuliko jamaa aliyekwisha kuwa na boat za kuvulia??
No ni kiburi cha nyuma ya keyboard,tema mate chini jiombee na ukiombee kizazi chako.
Mbona uno lake zito sana.! Ndio wa kusababisha mtu ajipige gun huyu!!MWANAUME ULIYEKOMAA AKILI UNAKWENDA OA MTU WA HIVI?