Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

1....walikua hawana mawasiliano mazuri simply ndoa yao ilikua ishakufa kibudu, kutopokea simu ni matokeo tu....hii ya kutulia ama kutotuulia haina uhusiano na simu, unaweza ukawa hufanyi uma*laya ila ndoa yako ushaichoka....labda, again Labda huyo Said alikua anam abuse dada wa watu physically ama Psychologically.... dada wa watu akawa exhausted... .kusikiliza mtu/simu katika haya mazingira inakua ngumu kidogo....unakua upo kama haupo...

2...... una uhakika gani hio huduma alikua anaipata kwa huyo Said peke yake???....na utamu akigawa kwa wengine,inahalalisha kuchukua uhai wake???, si muache anakoenda kutoa utamu apewe na huduma huko pia??....

3...Acha kuhalalisha mauaji ndugu, wasukuma (sio wote), wanajua kupenda, wengine wako obsessed na ngozi nyeupe tu, hawana love wala nini, ukimpenda mtu sometimes you have to let her go!

..
nikwambie kitu ?

hakuna kitu kinauma kama kuwekeza kila kitu mpaka maisha yako kwa mwanamke halafu akaleta ukuda.

nisimchape chuma mi nani ?

kama ulikua hauko tayari kuolewa si ubaki kwenu ?

naishauri serikali iruhusu ununuaji wa miguu ya kuku hata super market Tanzania itabaki na wanawake wema tu wasioolewa kwa tamaa ya mali tu
 
Sasa pesa yako mwenyewe kwanini ikutese?

Labda Kama unamzungumzia pesa za kiganga?
 
Nadhan Mtoa mada umemaanisha wanawake warembo, sio wanawke wazuri
 
Kwa hiyo mwanamke akiwa mzuri ndio anatakiwa kuwa mtumwa!? Au what is ur point?!
Mwanamke mzuri ni wa sterehe tuu full stop,unaoa mwanamke anatongozwa na kila mwanaume na kama hajielewi basi kila mtu anajipigia tuu
 
Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
iliwai kunitokea nikawa natembea na maziwa kwenye gari mpaka nilipofanikiwa kumpigia chini sasa naishi maisha ya raha na amani
 
Huyu dada da? Nipo huku kirumba story yake ni mbaya sana huyu dada alikuwa kaolewa na mume wake mwingine wakaachana akaolewa na huyu kaka anafanya kazi geita mgodini huyu kaka alimpenda sana huyu bint amemjengea bonge la nyumba Ana nyumba 3 na gari mbili kanunuliwa na huyu bwana lakin kumbe bint hampendi huyu kaka wa geita alikuja kwa ajili ya pesa tu lakin anampenda mume aliyemuacha nasikia alikuwa anafanya visa ili waachane lakin mume anagoma so ni kawaida yake kukatazwa kwenda sehemu lakin anaenda tu ili mwanaume amuache sasa jmosi mwanaume yupo mgodin akamwambia anaenda mpirani mwanaume akamwambia hakuna kwenda mdada akaenda tu mwanaume akapanda ndege akaja mwanza akaenda home mdada akaenda mpirani alivyotoka akaunga kwa diamond akiwa na mume wake wa zamani akarudi nyumbani saa 11 alfajiri nyumbani anagonga mlango akafunguliwa na kupigwa risasi 7 na mme wake na kufa huyu bint ni mwana yanga na ni mnyiramba zamani alikuwa muhudumu pale villa. Dada Ana story zake ni ngumu sana. C&P tutasikia mengi

 
Mmh, haiwezekani, yaani mtu ajiue halafu ajitupe kwenye ziwa? Alijibebaje? Hapo kuna mtu alitaka kumuua mkewe na kumframe yeye kama amekombia, kumbe na yeye kauwawa na kutupwa ziwani.

UCHUNGUZI UFANYIKE!!
Hili Kwa tunaopajua Bismarck beach wala halitupi maswali, huyu alijiua akiwa juu ya Jiwe mwili ukaangukia majini.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi yanaua
IMG-20220531-WA0406.jpg
 
nikwambie kitu ?

hakuna kitu kinauma kama kuwekeza kila kitu mpaka maisha yako kwa mwanamke halafu akaleta ukuda.

nisimchape chuma mi nani ?

kama ulikua hauko tayari kuolewa si ubaki kwenu ?

naishauri serikali iruhusu ununuaji wa miguu ya kuku hata super market Tanzania itabaki na wanawake wema tu wasioolewa kwa tamaa ya mali tu

1.Mkuu, mimi sihukumu ila nachojua ndoa ni complicated institution, sisi tutabaki ku speculate tu, maybe this/that is what happened...ila we can never be certain kwa yaliyokuwa yanaendelea ndani,.... kuwekeza hatujui hata huyo mwanamke ali sacrifice/ wekeza vingapi kwenye hio ndoa...???!

2. Ukishamchapa chuma, kinachofuata ni nini???

3. ..unakuta mwingine anajifanya gentleman, ana pesa, he will take care of you sio tu kifedha bali na atakuhudumia na your emotional needs, unajikuta umeolewa na abusive man, unakuja kujua hili ndoani, kuwa kwako tayari kuolewa na huyo mwanaume ndio iwe kifungo kwako??ukigundua mambo hayaendi tafuta space u-breathe, it doesnt matter ulikua tayari kuolewa ama haukua tayari...

4. ...hio itapendeza kama wanaume hamtatumia pia hela zenu kuwalaghai wanawake, wakae na nyie just bacause mna pesa/status...Hizo supermarkets wakianza kuuza miguu ya kuku licence wasipewe wanaume tu, wanawake pia wapewe, ili waue wanaume zao ambao ni wasaliti, 😁😁😁😁😁, wabaki sio wanawake wema tu na wanaume wema pia...lol...
 
Back
Top Bottom