Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Ni mtizamo wangu usinipopoe mawe ndugu. Shida ilikuwepo mahali
Sikupopoi mkuu,mjadala huru huu..kuwa free mamii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mtizamo wangu usinipopoe mawe ndugu. Shida ilikuwepo mahali
nikwambie kitu ?1....walikua hawana mawasiliano mazuri simply ndoa yao ilikua ishakufa kibudu, kutopokea simu ni matokeo tu....hii ya kutulia ama kutotuulia haina uhusiano na simu, unaweza ukawa hufanyi uma*laya ila ndoa yako ushaichoka....labda, again Labda huyo Said alikua anam abuse dada wa watu physically ama Psychologically.... dada wa watu akawa exhausted... .kusikiliza mtu/simu katika haya mazingira inakua ngumu kidogo....unakua upo kama haupo...
2...... una uhakika gani hio huduma alikua anaipata kwa huyo Said peke yake???....na utamu akigawa kwa wengine,inahalalisha kuchukua uhai wake???, si muache anakoenda kutoa utamu apewe na huduma huko pia??....
3...Acha kuhalalisha mauaji ndugu, wasukuma (sio wote), wanajua kupenda, wengine wako obsessed na ngozi nyeupe tu, hawana love wala nini, ukimpenda mtu sometimes you have to let her go!
..
Dah kazingua sanaMWANAUME ULIYEKOMAA AKILI UNAKWENDA OA MTU WA HIVI?
aiseeMWANAUME ULIYEKOMAA AKILI UNAKWENDA OA MTU WA HIVI?
Mwanamke mzuri ni wa sterehe tuu full stop,unaoa mwanamke anatongozwa na kila mwanaume na kama hajielewi basi kila mtu anajipigia tuuKwa hiyo mwanamke akiwa mzuri ndio anatakiwa kuwa mtumwa!? Au what is ur point?!
Sijaelewa, unaongelea nini hasa!Mkulungwa marehemu alichemka padogo sana baada ya Dem kumruhusu avute goma lingine asingeenda mbali angesomba mdogo mtu
Utumwa unahusianaje na kusafirisha safiri[emoji848]Kwa hiyo mwanamke akiwa mzuri ndio anatakiwa kuwa mtumwa!? Au what is ur point?!
NaamMwanaume kamili lazima ajue kutofautisha kati ya mwanamke wa kuoa na mwanamke wa kupita tu.
7 O'clock bullets.Endelea Kula hela za wanaume Tu na wewe utasukumiwa Bullet
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
iliwai kunitokea nikawa natembea na maziwa kwenye gari mpaka nilipofanikiwa kumpigia chini sasa naishi maisha ya raha na amaniJuzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hili Kwa tunaopajua Bismarck beach wala halitupi maswali, huyu alijiua akiwa juu ya Jiwe mwili ukaangukia majini.Mmh, haiwezekani, yaani mtu ajiue halafu ajitupe kwenye ziwa? Alijibebaje? Hapo kuna mtu alitaka kumuua mkewe na kumframe yeye kama amekombia, kumbe na yeye kauwawa na kutupwa ziwani.
UCHUNGUZI UFANYIKE!!
Mkuu umeoa lini?..wakati kila siku unacomment humu huna mpango wa kuoa kwa ss ww ni kuzichakata tuu mbususu[emoji23]Ndio mkuu nina mke.
Jamani daah, wanaume poleni.iliwai kunitokea nikawa natembea na maziwa kwenye gari mpaka nilipofanikiwa kumpigia chini sasa naishi maisha ya raha na amani
nikwambie kitu ?
hakuna kitu kinauma kama kuwekeza kila kitu mpaka maisha yako kwa mwanamke halafu akaleta ukuda.
nisimchape chuma mi nani ?
kama ulikua hauko tayari kuolewa si ubaki kwenu ?
naishauri serikali iruhusu ununuaji wa miguu ya kuku hata super market Tanzania itabaki na wanawake wema tu wasioolewa kwa tamaa ya mali tu