Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mimi nipo hapa kuwakumbusha wanawake wasiingie kwenye mahusiano kufata hela za wanaume ili yasiwakute haya maswaibu, kama humpendi mtu mchane mapema kabisa aondoke na hela zake...sio mtu anajenga kibanda.

Kama issue ni kutafuta hela hela kupitia mapenzi wauze miili yao moja kwa moja ili tuwanunue, au date na watu unaotaka ila sio kukimbilia kwenyr ndoa.
ndio ila kwenye hayo mambo hata wanaume wanakuwa victim pia, ukiua au ukimuumiza mke aliyekutenda vibaya, wewe either utajiua, utafungwa, utauawa au utaishi kama mkimbizi
so wakati wanawake wakiwa na madhaifu yao, ni vizuri pia wanaume wakajua hatua za kuchukua ili wasiathirike na hayo madhaifu ya wanawake
 
Wanajisahaulisha tukio la neema mushi wa kimara kumchoma visu then moto umo ndani ....ukiingia 18 za mtu hutabaki salama
 
Huyu dada hii ndoa yake ni ya pili na mwanaume wa kwanza alikuwa na pesa tu na alifunguliwa biashara kubwa na siku ya harusi alizawadiwa gari aina kama ya harrier,akajengewae nyumba ndogo kwao kwa wazazi wake kupapendezesha
Kwa hiyo huyu dada alikuwa anatembea na watu wenye pesa Na alimuacha mume wa kwanza pia
Huyu kaka sio kwamba ndio amemuinua huyu dada alikuta wenzie tayari washafanya
Basi itoshe kusema kuwa jamaa kimbelembele chake
 
mama zao wanakua wanajua kila kitu kenge hawa eti alikua nyumbani saa sita usiku sijui alikua anafanya nini ?[emoji848]
yaani hakuna kitu kinauma kama mwanaume unawekeza kila kitu hadi maisha yako kwa mwanamke halafu bado anamegwa kama kawaida yaani

nisikuchape chuma mi nani ?
So what? Mwenzenu kapata faida gani sasa?
 
Huyu dada hii ndoa yake ni ya pili na mwanaume wa kwanza alikuwa na pesa tu na alifunguliwa biashara kubwa na siku ya harusi alizawadiwa gari aina kama ya harrier,akajengewae nyumba ndogo kwao kwa wazazi wake kupapendezesha
Kwa hiyo huyu dada alikuwa anatembea na watu wenye pesa Na alimuacha mume wa kwanza pia
Huyu kaka sio kwamba ndio amemuinua huyu dada alikuta wenzie tayari washafanya
Said alivamia mfupa uliomshinda fisi.
 
Kwa taarifa yako tu wanawake wote ni wazuri na warembo ni umaskini tu na kukosa kipato kwa baadhi ya wanawake kunawafanya kuwa nadhifu. Lakini Mwanamke yoyote mwenye Hela ya kujiweka soap soap ni Mrembo. Acheni kutumia kwamba wanaolewa sio wazuri kiasi kwamba mnataka wajioneje!? Kila mwanamke ni Mrembo ni pesa tu
Anakufuru huyu jamani.
Hapa mtaani kuna Guruguja hata ijilembe vipi hainogi na haitustui kabisa na inafanya kazi taasisi fulani kubwa.
Make up zimemsaidia kupunguza ubaya ila mbaya tu ht iweje.
 
Jamaa angekuwa Smart ange move on.
Wakati mwingine ushamba nao tatizo.
Siyo kila mwenye pesa ni Mjanja.
Mwamba si unaona wanasema alikuwa na mazoea ya kufyatua Risasi nyumbani kwake ,huenda hakuwa timamu muda mrefu tu
 
Watoto hawawezi kukuelewa, hapo hapakuwa na mpira wala show.
Sasa hapo ndiyo ilikua sehemu nzuri ya kumpiga kibuti na a move on na Maisha yake mapya! Hata Kama kawekeza sana,asingeogopa kupoteza na kuanza upya,yeye ni mfanyabiashara na kawaida ya mfanyabiashara aliye kwiva hua haogopi Madeni au hasara,, na kuanza upya!!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Dem mbaya akiliwa haiumi sana. Unamdharau tu

Ila hizi pisi kali sasa. Wanamla na kumuacha huwezi utaonekana loser.
Tatizo lako ni kwamba una wivu wakijinga. Kwani wanakuona loser yaani kisa wamemtomba mwanamke ambaye yupo duniani kutombwer🤣🤣🤣🤣🤣 wee jamaa u need to get ur priorities strait
 
Back
Top Bottom