Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mkuu nakuweka kundi moja na huyo niliyemjibu hapo
kuna mambo yako nje ya uwezo wetu huwezi kuleta umwamba kwenye jambo kama hili
Ni vile tu hayajakukuta Mwombe Mungu akuepushe ndugu
Mambo mengine ni ya kujitakia, kabla hujaoa jiulize mambo ambayo yatakuongoza kumpata mtu sahihi, kila mwanamke ana kasoro zake ila wanatofautiana, hayo yanawakuta watu wasio kuwa makini unaishi na mwanamke alieachika kweli una sound mind?
 
Mwamba si unaona wanasema alikuwa na mazoea ya kufyatua Risasi nyumbani kwake ,huenda hakuwa timamu muda mrefu tu

Mpaka akapewa cha moto ni mchakato ulipita, tatizo lao wakishamiliki cha moto sasa ndiyo wanaonyesha ushamba wao.

Wapo wengi tu huku mtaani ni ushamba tu ,Kuna jamaa mitaa ya sinza aliwafyatulia wenzake risasi bar na yeye akajilipua , unaona hiyo hatari iliyopo hapo unaweza kuwa muhanga hivi hivi.

Mamlaka husika ziangalie upya hii sera ya umiliki wa silaha.
 
Duu mama umemaliza kila kitu. In short Kuna pisi hata mie lombo haisimami kabisa so nakuelewa. Lazima uwe naye mvuto Ila isiwe priority ya kwanza.
Duu imenimaliza kuwa Tabia ni subjective na sio objective. Yaani maneno nimekuja kuyaelewa ukubwani baada ya ku graduate.
Kwa iyo rebeca Ina Mana ukihisi unadanganywa ama mmeo anachepuka na wewe unaniweka Ile kutuvutia wa nje ndo pona pona yako ama kidogo maumivu yako yanapoa kidogo unapata kafuraha mama.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi Sina hata wa kunipiga konzi, sembuse huyo wa kunifyatulia risasi....siendeshwagi na mapenzi mimi
Tema mate chini mdogo wangu. Labda huwa unawakataa ama unapenda kuwa independent lady
 
N
Na sheria ya ndoa bado inakutaka mwanamke wa hivyo,umtunze kila kitu,asichangie chochote nyumbani,wakati halei watoto inavyotakiwa,kazi zinafanywa na daycare, boarding na housegirls.
 
Jamaniii Hivi marehemu Said hakuwa member humu??ukute tuna TANZIA leo...I wish ningeona comments zake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi Sina hata wa kunipiga konzi, sembuse huyo wa kunifyatulia risasi....siendeshwagi na mapenzi mimi
aise hii si golden chance hii!! ngoja nijaribu bahati yangu !! joannah ,unaonaje tuyajenge ,huenda mm ndo chemistry wako kindakindaki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu washakutana na sekeseke za ndoa,mnayamaliza tu kibingwa
Maisha lazima yaendele
Sasa we ukijitoa uhai ,utakuwa umefanya nini zaidi ya ujuha

Ova
 
Acha ushamba mke kwenda kwenye show fatizo nini bwana kama ndio kitu kinamburudisha?

Acheni ujinga bwana mwanamke anaweza kwenda out na marafiki zake wakike wakaenjoy ...mbona tunawaachia waende kwenye kitchen party
Comment ya Jezebel hii lishazoea kudanga night club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…