Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mkuu nakuweka kundi moja na huyo niliyemjibu hapo
kuna mambo yako nje ya uwezo wetu huwezi kuleta umwamba kwenye jambo kama hili
Ni vile tu hayajakukuta Mwombe Mungu akuepushe ndugu
Mambo mengine ni ya kujitakia, kabla hujaoa jiulize mambo ambayo yatakuongoza kumpata mtu sahihi, kila mwanamke ana kasoro zake ila wanatofautiana, hayo yanawakuta watu wasio kuwa makini unaishi na mwanamke alieachika kweli una sound mind?
 
Mwamba si unaona wanasema alikuwa na mazoea ya kufyatua Risasi nyumbani kwake ,huenda hakuwa timamu muda mrefu tu

Mpaka akapewa cha moto ni mchakato ulipita, tatizo lao wakishamiliki cha moto sasa ndiyo wanaonyesha ushamba wao.

Wapo wengi tu huku mtaani ni ushamba tu ,Kuna jamaa mitaa ya sinza aliwafyatulia wenzake risasi bar na yeye akajilipua , unaona hiyo hatari iliyopo hapo unaweza kuwa muhanga hivi hivi.

Mamlaka husika ziangalie upya hii sera ya umiliki wa silaha.
 
Uzuri unaisha ndani ya muda mfupi ndio uoe mwanamke sio attractive in your eyes?!

Tabia haitengenezi strong bond,chemistry does!..its chemistry between you two ndio itakayokuwa kama buffer kwenye relationship yenu...

Chemistry; wewe anakufeel, attractive, wanted, sexy, yuko contend and feel secured, akiwa na wewe, na wewe pia hivyo hivyo kwake..... sasa one element ya chemistry ikitoka (attractiveness) jua relationship yako iko kwenye vulnerable position.....!!!

I agree uzuri hauishi milele, but so does tabia, is subject to change, mfano leo mimi ni mwanamke mwema.. namlea mama yako vizuri, mama yako labda ni uzee au mimi sizai, anaanza kunichokonoa, bado nitabaki vile vile?? lazima nitachange attitude ama kuanza kumtreat vibaya, tabia yangu ina change.. au mfano wewe una stress kazini, umeanza kunywa pombe na kuanza kutoka na mala*ya wengine, na mimi natafuta attention somewhere else...you see hata tabia nayo inabadilika pia, na ndio maana unasikia huyu zamani alikua muhuni kweli ila kabadilika......lol

Halafu nimesema sio uoe mwanamke mzuri peke yake bali mwanamke mzuri+tabia nzuri, ila usi substitute kamwe na Mwanamke unattractive in your eyes kisa ana tabia nzuri, mta create unhappy home... kwa sababu kama humuoni attractive ataifeel /atajua tu...huwaga tunajuaga..lol...,atabaki hana furaha/ insecured, na mapenzi mmoja akiwa hana furaha, ngumu kutengeneza bond kwenye mazingira ya hivi...usinidanganye..lol

i agree ni ngumu sana to satisfy human's ego...ila tunapunguza chances za kutoka nje hapa..lol...
Duu mama umemaliza kila kitu. In short Kuna pisi hata mie lombo haisimami kabisa so nakuelewa. Lazima uwe naye mvuto Ila isiwe priority ya kwanza.
Duu imenimaliza kuwa Tabia ni subjective na sio objective. Yaani maneno nimekuja kuyaelewa ukubwani baada ya ku graduate.
Kwa iyo rebeca Ina Mana ukihisi unadanganywa ama mmeo anachepuka na wewe unaniweka Ile kutuvutia wa nje ndo pona pona yako ama kidogo maumivu yako yanapoa kidogo unapata kafuraha mama.
Uzuri unaisha ndani ya muda mfupi ndio uoe mwanamke sio attractive in your eyes?!

Tabia haitengenezi strong bond,chemistry does!..its chemistry between you two ndio itakayokuwa kama buffer kwenye relationship yenu...

Chemistry; wewe anakufeel, attractive, wanted, sexy, yuko contend and feel secured, akiwa na wewe, na wewe pia hivyo hivyo kwake..... sasa one element ya chemistry ikitoka (attractiveness) jua relationship yako iko kwenye vulnerable position.....!!!

I agree uzuri hauishi milele, but so does tabia, is subject to change, mfano leo mimi ni mwanamke mwema.. namlea mama yako vizuri, mama yako labda ni uzee au mimi sizai, anaanza kunichokonoa, bado nitabaki vile vile?? lazima nitachange attitude ama kuanza kumtreat vibaya, tabia yangu ina change.. au mfano wewe una stress kazini, umeanza kunywa pombe na kuanza kutoka na mala*ya wengine, na mimi natafuta attention somewhere else...you see hata tabia nayo inabadilika pia, na ndio maana unasikia huyu zamani alikua muhuni kweli ila kabadilika......lol

Halafu nimesema sio uoe mwanamke mzuri peke yake bali mwanamke mzuri+tabia nzuri, ila usi substitute kamwe na Mwanamke unattractive in your eyes kisa ana tabia nzuri, mta create unhappy home... kwa sababu kama humuoni attractive ataifeel /atajua tu...huwaga tunajuaga..lol...,atabaki hana furaha/ insecured, na mapenzi mmoja akiwa hana furaha, ngumu kutengeneza bond kwenye mazingira ya hivi...usinidanganye..lol

i agree ni ngumu sana to satisfy human's ego...ila tunapunguza chances za kutoka nje hapa..lol...
 
N
Kuwaacha huru kunawafanya wadai uhuru kila mahala, mpaka kwenye ndoa pia nao wanadai uhuru na 50/50 matokeo yake jamii zinakuza watoto matoy na marobot..

Leo hii Mwanamke yuko busy hawezi kulea mtoto na watoto wanashinda daycare, baada ya hapo bording, wakirudi nyumbani kuna house girl....unaambiwa mama yuko busy anatafuta hela kifupi wote yeye na mume wake wote wamekuwa busy wanatafuta hela ambazo hazijulikana ni za kazi gani....
Na sheria ya ndoa bado inakutaka mwanamke wa hivyo,umtunze kila kitu,asichangie chochote nyumbani,wakati halei watoto inavyotakiwa,kazi zinafanywa na daycare, boarding na housegirls.
 
Jamaniii Hivi marehemu Said hakuwa member humu??ukute tuna TANZIA leo...I wish ningeona comments zake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi Sina hata wa kunipiga konzi, sembuse huyo wa kunifyatulia risasi....siendeshwagi na mapenzi mimi
aise hii si golden chance hii!! ngoja nijaribu bahati yangu !! joannah ,unaonaje tuyajenge ,huenda mm ndo chemistry wako kindakindaki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni zaidi ya ufala,

Nilikauliza ka bro kangu,vipi ungekuwa wewe ungefanyaje??

Dogo akaniambia naachana nae ,wanawake wapo wengi sana na ni wazuri kumzidi[emoji23]

Namtengenezea mdogo wangu mazingira ya kupendwa,sio kupenda kizembe,,,,,,,,,yaani aone wanawake ni kitu cha mpito kila siku wanazaliwa,
Watu washakutana na sekeseke za ndoa,mnayamaliza tu kibingwa
Maisha lazima yaendele
Sasa we ukijitoa uhai ,utakuwa umefanya nini zaidi ya ujuha

Ova
 
Acha ushamba mke kwenda kwenye show fatizo nini bwana kama ndio kitu kinamburudisha?

Acheni ujinga bwana mwanamke anaweza kwenda out na marafiki zake wakike wakaenjoy ...mbona tunawaachia waende kwenye kitchen party
Comment ya Jezebel hii lishazoea kudanga night club.
 
Back
Top Bottom