Umenikumbusha Ile movie ya "deep water" aisee ni balaa jamaa yupo kimya akiona mke wake ana shikwa na vinjemba mwishowe ana wauwa kimya kimya akirudi nyumbani ana smile bila shida.Sidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani kabisa, shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
Kwani mtu akiolewa starehe zinaachwa?Kuna vya kusikiliza na vya kupuuza. Kama hayo mambo ya show yakazi gani mtu ushaolewa na familia yako. Usipoenda itakupunguzia Nini
Ni kwasababu ya mahari tu?Ni nature na utaratibu wa Afrika, ndo maana nyie hamtoi mahari wala hamuoi bali mnaolewa
Sasa wewe ndiye wafaa kuwa wife material Mana kwanza hauna ushindani huko nje,ukiwa kisu Sana nayo ni majanga. Sema najua unazuga eti wewe ni mbayambaya ,utakuwa ni kisu hatari.mana huwa naishi kwa kanuni moja mwenye nacho huwa anajishusha Ila ambaye Hana anajinyanyua.Hawanitaki Wenyewe kaka...Mimi Ni mbayambaya flan.
Kwahiyo mnakataza wake zenu wasifanye mambo wayapendayo kwakuwa mmepewa mamlaka ya kutiiwa?"Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa"
Sasa wewe jitie una hekima au akili kuliko Mungu, utafurahia mziki wake!
Mbona gari la Petroli huwa mnajaza bila kuhoji au kuamua kuweka dizeli?
Mkuu unaongea vitu vikubwa sana hawa watoto humu ukizungumza mambo ya chemistry na attraction hawawezi kukuelewa kamwe.Uzuri unaisha ndani ya muda mfupi ndio uoe mwanamke sio attractive in your eyes?!
Tabia haitengenezi strong bond,chemistry does!..its chemistry between you two ndio itakayokuwa kama buffer kwenye relationship yenu...
Chemistry; wewe anakufeel, attractive, wanted, sexy, yuko contend and feel secured, akiwa na wewe, na wewe pia hivyo hivyo kwake..... sasa one element ya chemistry ikitoka (attractiveness) jua relationship yako iko kwenye vulnerable position.....!!!
I agree uzuri hauishi milele, but so does tabia, is subject to change, mfano leo mimi ni mwanamke mwema.. namlea mama yako vizuri, mama yako labda ni uzee au mimi sizai, anaanza kunichokonoa, bado nitabaki vile vile?? lazima nitachange attitude ama kuanza kumtreat vibaya, tabia yangu ina change.. au mfano wewe una stress kazini, umeanza kunywa pombe na kuanza kutoka na mala*ya wengine, na mimi natafuta attention somewhere else...you see hata tabia nayo inabadilika pia, na ndio maana unasikia huyu zamani alikua muhuni kweli ila kabadilika......lol
Halafu nimesema sio uoe mwanamke mzuri peke yake bali mwanamke mzuri+tabia nzuri, ila usi substitute kamwe na Mwanamke unattractive in your eyes kisa ana tabia nzuri, mta create unhappy home... kwa sababu kama humuoni attractive ataifeel /atajua tu...huwaga tunajuaga..lol...,atabaki hana furaha/ insecured, na mapenzi mmoja akiwa hana furaha, ngumu kutengeneza bond kwenye mazingira ya hivi...usinidanganye..lol
i agree ni ngumu sana to satisfy human's ego...ila tunapunguza chances za kutoka nje hapa..lol...
Haya ndo tume kataaa next time ni Mtu ana pigwa na RPG[emoji81][emoji81]View attachment 2245810
Ukishaolewa tulia mama achana na mambo ya kutaka kuishi kibachelor kwenye ndoa utaleta maseke.Kwani mtu akiolewa starehe zinaachwa?
Kwahiyo shoo zote zinazowekwa ni kwaajili ya wasio olewa tu? Au vijana tu?
Hamna mnayowasikilizaga huwa mnaona kama wanawake hawana haki ya kuwa na mambo yao wanapenda.
Unakuta mwanaume anakataza mke hata kwenda msibani, kwenye harusi, kusalimu ndugu ili mradi tu kiduke kasema.
Alikuwa hajatulia,machepele.Hata jina lake.
Sio tu unapelekeshwa na mtu mmoja, unapelekesha na mtu mmoja ambae umeanza kuishi nae 5 months ago. Yani a total of 150 days! Wewe umeishi miaka 36.5 vizuri kabisa, lakini ndani ya miezi mitano una give up all your life, your dreams, your future, kazi yote waliyofanya wazazi wako kukulea, kukusomesha, unawaacha wote wanaokutegemea, ndugu jamaa na marafiki, dili zako zote, watu unaowadai, vyote hivyo unafuta kisa MWANAMKE! Huo si ukichaa..??Dah!
Kwa kweli siwezi kabisa kuyatupa maisha yangu kiboya namna hii kisa mwanamke.
Self-esteem yangu na pride yangu ni kubwa mno na ninajipenda sana.
Huyu mtu alikuwa na matatizo yake binafsi tu.
Yaani unajitandika risasi hivyo kisa mwanamke?
Dunia hii ina watu takriban bilioni 8!
Ndo unapelekeshwa na huyo mmoja hadi unajiua?
Dah!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yaani huku kuna vitukoView attachment 2246106
Kuna ka mwanamke kana nitafuta sana.... ipo siku nitapiga huu mtambo kijijini kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anampigia simu Mara 42 mtu utasema unamdai Figo!yaani Kuna baadhi ya tabia mtu akifanya ukiwa nae kwenye mahusiano sio Mambo ya kupuuzia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakudai figo?Haya ndo tume kataaa next time ni Mtu ana pigwa na RPG[emoji81][emoji81]View attachment 2245810
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeHawa watu sio rahisi kuishi nao, hasa ukishakuwa tajiri.View attachment 2245830
Sasa si utaharibu kijiji kizima[emoji50]View attachment 2246106
Kuna ka mwanamke kana nitafuta sana.... ipo siku nitapiga huu mtambo kijijini kwao
My apologiesmkuu hii sio sawa,futa tafadhali.
Hapa walikuwa malaika. Ilo boya ni malaika swimming pool