Uzuri unaisha ndani ya muda mfupi ndio uoe mwanamke sio attractive in your eyes?!
Tabia haitengenezi strong bond,chemistry does!..its chemistry between you two ndio itakayokuwa kama buffer kwenye relationship yenu...
Chemistry; wewe anakufeel, attractive, wanted, sexy, yuko contend and feel secured, akiwa na wewe, na wewe pia hivyo hivyo kwake..... sasa one element ya chemistry ikitoka (attractiveness) jua relationship yako iko kwenye vulnerable position.....!!!
I agree uzuri hauishi milele, but so does tabia, is subject to change, mfano leo mimi ni mwanamke mwema.. namlea mama yako vizuri, mama yako labda ni uzee au mimi sizai, anaanza kunichokonoa, bado nitabaki vile vile?? lazima nitachange attitude ama kuanza kumtreat vibaya, tabia yangu ina change.. au mfano wewe una stress kazini, umeanza kunywa pombe na kuanza kutoka na mala*ya wengine, na mimi natafuta attention somewhere else...you see hata tabia nayo inabadilika pia, na ndio maana unasikia huyu zamani alikua muhuni kweli ila kabadilika......lol
Halafu nimesema sio uoe mwanamke mzuri peke yake bali mwanamke mzuri+tabia nzuri, ila usi substitute kamwe na Mwanamke unattractive in your eyes kisa ana tabia nzuri, mta create unhappy home... kwa sababu kama humuoni attractive ataifeel /atajua tu...huwaga tunajuaga..lol...,atabaki hana furaha/ insecured, na mapenzi mmoja akiwa hana furaha, ngumu kutengeneza bond kwenye mazingira ya hivi...usinidanganye..lol
i agree ni ngumu sana to satisfy human's ego...ila tunapunguza chances za kutoka nje hapa..lol...