Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Anakufuru huyu jamani.
Hapa mtaani kuna Guruguja hata ijilembe vipi hainogi na haitustui kabisa na inafanya kazi taasisi fulani kubwa.
Make up zimemsaidia kupunguza ubaya ila mbaya tu ht iweje.
Wasitutie moyo kuna wanawake wana miili kama simtank tako halijulikani, kifua hakijulikani miguu kama fito yaani ni shida tu..
 
Uzuri utumwa kyaaaa!
 
Mwanamke mzuri ni wa sterehe tuu full stop,unaoa mwanamke anatongozwa na kila mwanaume na kama hajielewi basi kila mtu anajipigia tuu
Kweli mkuu Angalia tu wanaojiuza kwenye mitandao, barabarani usiku, kwenye ma-night club n.k asilimia kubwa ni warembo wanasubiri njema ifungue wallet wakatanue mapaja.
 
Unaoa mwanamke mzuri na maarufu afu bado unamuacha aendelee na biashara zake za kusafiri safiri,jamaa jinga sana
Mwanamke kama yule hata ukimuoa hatokuwa wako peke yako. Kwanza kiumri tu damu bado ni damu ya nyenge nyege anahitaji kutesti aina mbali mbali za mitambo ukizingatia na shughuli anazofanya ndio kabisa. Yule ni wa kupiga na kuondoka unawaachia wengine. Lakini kwenye suala la ndoa bado kabisa kuwa committed.
 
Ndege wawil wafananao huruka pamoja na ujue
Katika maishaa kama hamfanani kamwe msijalibu kuluka pamoja.
Huwezi kuwa umeolewa na mtumishi wa Mungu alafu bado unataka kwenda disco eti kisa tu una privancy zako haiwezekani.
Wengi ndiko ambako wanakwenda kufanya ufuska..anasahau kwamba yeye ni mke wa mtu.
Mke mwema atailinda ndoa yake kwa nguvu zake zote sasa jamaa anapiga cm mcd call 42 hazipokelew hii ni balaa

Siungi mkono kilichotokea mwanza ila wanawake badilikeni hii 50/50..wengi wanajikuta wanaitumia vibaya
Unakuta jamaa kajinyima ili apate hela akupe mtaji wa biashara kesho umetoboa unaanza zarau...kisa tu madili yamekunyokea.
Nazani hata hizi kauli za mwanamke hasomeshwi nyiny ndo mmesababisha wanaume wameanza kushtuka hawasomesh tenaa[emoji28][emoji28] unakuta jamaa anakusomesha then unakuja kumkataa wakat mlikubaliana mtaoana si ungemkata toka mwanzo.
 
Jamaa alizingua mno.

Ila wale watu wa visiwani huwa na ushirikina mno unaweza kuta waliona wampoteze jamaa kupitia wanawake. Mengine ya visiwani hayawezi kusemwa huku. Ila tambua huko ziwani kuna ushirikina mno.
Wabongo bhana!!!, Yaani muda wote mnawaza ushirikina tu.Hebu tujikomboe kifikra,tumedumazwa mno kiakili kwasababu ya kudhani kila janga linalotupata limesababishwa na ushirikina.
 
Mimi naoa mke mzuri.
Ila siui mke,sijiui Wala simuui mgoni wangu ila Nita kachomfanya mgoni atahama mkoa sio kata.
 
Wee fikiria tu unajituma kichizi kutafuta hela ndeefuuuu. Unajituma kupiga mzigo kumfurahisha demu. You massively fund her lifestyle.

Anaanza kukuletea nyodo na madharau. Na anavuka mpaka kuchezea na kumfurahisha mwanaume mwengine na hela yako na kukuambia you are not of my type.

Lazima umuonjeshe ladha ya shaba the taste of lid.

Manati ya mzungu ni mkombozi Kitu ukipres tu kinakohoa pah pah halafu kinatema kitu chenye ncha kali/butu kinaruka hewan kwa kasi ya hatariii kabla ya kumfikia mlengwa na kumpa room tamparature challenge, mzungu hajakariri kasoma na kuelewa.

Halafu zilizosalia unafyatua hewan kwa jazba na hovyohovyo kwasababu kuna wamatumbi mitambo ya umbea inapenda kusogeza pua zao kufuatilia mambo ya wengine yasiowahusu.

Kwa tahadhari unahakisha unabakiza moja ambayo utaitumia kwa mara ya mwisho.

Unageuza mtutu kichwani mwako na kufumua ubongo wako ili kumaliza soo kiroho safi. Unaondoka duniani kishujaa kwa kulipiza kisasi ipasavyo.
 
Ni kwasababu ya mahari tu?

Kwamba mke awe mtumwa tu.

Hebu tujaribuni kuondoa hii nature isiyo na manufaa kwa ustawi I a mahusiano.

Mke na mume wasikilizane
Kwa akili hizi, i bet, YOU ARE THE NEXT, tutaandika hapa stori zako siku si nyingi. 50/50 au sio
 
Nimesoma nakusoma inasikitisha sana, hivi wanaume hawa cheat wake zao? na uhakika wanaume wanaongoza katika kuwazunguka wanawake sasa mwanamme tumuhukumu kivipi? Mwenyezi Mungu wacha aitwe Mungu alimuwekea mwanamke bikra ili iwe zawadi kwa mumewe na heshima watu wanaokotana tu,Unaokota mwanammke unajuwa history yake vizuri umemkuta kisha pendezeshwa na wengine halafu unataka kumiliki wakati unajuwa wako walioshindwa. Jamani muwe mnatizama wa kuowa na wa kupitisha muda sio kila mwanammke wife material. Unamtongoza mwanamke club hujiulizi alifikaje huko?
 
Haya mambo yanashangaza sana.
 
Unafiki wa wadada,kwanini usikatae kua. mimi sitaki kuolewa,kama unataka huduma sawa,ntakupa,kuliko kuaminisha wanaume kua japo umenikuta sina bikra,ntakua mwaminifu kwako,badala yake unaolewa halafu ex wako akikutaka unasaliti,kwanini usingeolewa naye?Wanawake waache tamaa na unafiki,wataendelea kufanyiwa vile ambavyo wanaotendewa wanataka.Tusiwapangie wanaume wanaosalitiwa na wanawake,eti wasiue,wao wafanye vile watakavyo,maana hatujui wameaminishwaje na hao wadada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…