Mkuu naona tuna different perceptions, sikuelewi, hunielewi.......eti anakupa K tu?? hujui hii ni kama barter trade, anakupa K, unampa Uangalizi, sasa kwa nini uone K haina thamani equal na Uangalizi wako au uone unaonewa???...kabla hujamuoa si ulipima mwenyewe na kuona how much you are willing to compromise/sacrifice? sasa kwa nini baadae uone tabu???
Halafu,pili kwenye relationship, wanaume, na sisi wanawake hatupeani vikojoleo tu, jifunze ndugu ...tunainvest Time, Emotions, etc... vitu ambavyo haviwezi kuwa replaced easily ambavyo kwa lugha nyingine tunasema ni vitu veeeeeeeeeeeeery expensive, wewe unaweza kurudisha Time?!...au Umeuombe sir God can i have extra time hapa duniani?!....
Mwisho huyo Mkeo hapo,wewe jua tu ameinvest vitu vingi,sio anakupa K tu, tena kama mna watoto ujue mkeo ana make sacrifices kila siku, kama unaona she has nothing to offer, baki na wewe siku moja na watoto uone mtiti wake?!