Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Siku zote kutojua sheria hakuna msamaha. Mtoa mada hujui sheria. Kumwachia mtu makaratasi ya hati sio kumpa umiliki wa ardhi. Hapo ni kwamba anakushikia tu hizo hati

Pia kama hujampa talaka na ukinunua mali yoyote bado siku mkipeana talaka mnagawana. So kama unataka kuanza moja usianze mpaka utoe talaka
 
Haya mambo ni 50/50
Kuna wanawake pia ukiwachezea
Hisia zao wanaku shaya

Cc:yule dem aliyempiga kibiriti na petrol jamaa yk huko mbezi makabe

Ova
Tathimini ya harakaharaka utabaini kuwa wanawake ndio wahanga wakuu ktk matukio ya mauaji yanayohusu wivu wa kimapenzi na Usaliti.

Nawashauri wanaume waache jazba kwenye mahusiano, kama humuamini mwenzako ni vyema ukamuacha lakini pia kwa wanawake kama unajiona huwezi kuwa muaminifu kwa mwenzio ni bora uondoke mapema kuliko kusubiria kifo.

Mauaji kama haya hayakubaliki hata kidogo.
 
Mwanadamu inatakiwa kuushinda moyo, hii najua ni ngumu kwa watu wengi
Ila lazima ukubaliane na hali maisha yaendeleee
Kwenye mahusiano kuna namna nyingi ya kufanya kama unataka kumkomesha mke, mpenzi, jamaa yako
Zipo njia nyingi za kimjinimjini
Lakini siyo kutoa uhai wa mtu
Huu ni ujinga tu

Ova
 
Na nyie vijana mnaoa pisi kali zinawaletea matatizo tu, kila saa utawaza anataka kukusaliti, tafuteni pisi za kawaida muoe
Kuoa pisi kali ni sawa na kujenga nyumba kwenye hifadhi ya road kila saa unaogopa kupigiwa x.
 
Hivi kwa nini hawa pisi kali wanaringia sana u-pisi kali wao halafu wanaishia kuvuliwa chupi tu ovyo ovyo? Maana wengi wao hawaolewi wanaishia kuwa magubegube tu ya mjini. Au ndio wameumbwa kuwa viburudisho tu?
 
Wanawake wengi siku hizi wanataka mwanaume mwenye hela lakini mapenzi ampe mwingine. Pia ndani ya nyumba wanawake wengi siku hizi wanataka kuwa matop final say. Naona matokeo yake bado yataendelea kuwa makubwa sababu ya ujeuri wa wanawake wengi.
 
Wewe mwenye historia za dini mbona umebaki na kejeli badala ya kufundisha acha porojo mzee mimi ni nyani niliekwepa mishale mingi so huniambii kitu

Kwa iyo we nyani hujui ni kwa namna gan watu wameteswa na wanawake mzee
 
Wakina dda, ndoa ni sirias committment kulko upande w mwanaume hii ni sababu doa kua kubwa sana ikiwa mvunjifu w ndoa ni mwanamke, usije ukaingia kwnye ndoa ikiwa unajijua kuna vitu vya ujanani bado ujamalzana navyo, actually hulazimishwi kua kwnye ndoa usilazimishe kitu huna uhakika nacho, usiingye kwnye ndoa kwa kufurahisha watu, jiulze binafsi ata mara elfu kma unastahili kua kwnye ndoa, ndoa sio kitu cha kujaribu hasa kwa ukanda huu w afrika ambapo mwanaume ndio mtoa mahali n mtafutaji mkuu so automatically lazma ue chin ya himaya yake ata kabla ya kuekwa mkazo wa utii kwa mwanaume ktk vtabu vya dini..,ndomana nchi za wenzetu( wazungu) hawana utaratibu w mahal maana walichakata akili wakaona itaminya maisha ya mtu binafsi, ssa ikiwa huku ni desturi yetu, ujchunguze kwel kwel kujiepusha na yasio tegemewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…