Itakua ujapata taarifa zaid, kilchotokea ni mkusanyiko wa makosa aliokua akimfanyia mume wke, kma ilvo kwa matukio mengine, tatzo lenu nyiny wanawake weng hamjielew na ni akil za panz mnataka maisha mazur na mtu wakua nae mda wote, msaka hela uwez kua nae muda wote so mnaamua ktoka nje,.. ukpenda hela zake kubaliana na yote.So usipompenda/ usipohudumia siku moja tu na wewe uuwawe,??
Mana huyu mtu kakosa mheshimu siku moja kamdedisha
Na mtafia jela hadi mtie akili
Hatari🤣Halafu we mdada umevurugwa...
Hahah
Yani bado kidogo utukaneTuombe mungu atumbe wake/ waume waaminifu
🤣🤣🤣🤣🤣Putin mjanja,kajua angekuwa na mke lazima angemuuza kwa NATO.....NINGEFURAHI SANA.Kwa usalama wake Yuko sahii,
hata Hitler na filauni hawakua na mke[emoji28]
Za uso zipi?tumempeleka mchakamchaka Hadi CD4 zimeshuka yule,kamuangalie afya yake😁Najua humpendi, nimekuwa sarcastic tu hapo. Ila bwana Putin anawapa za uso nyie Pro nato na USA dadeq!
🤭🤭🤭Kikubwa uhai kaka..Sasa wewe ndiye wafaa kuwa wife material Mana kwanza hauna ushindani huko nje,ukiwa kisu Sana nayo ni majanga. Sema najua unazuga eti wewe ni mbayambaya ,utakuwa ni kisu hatari.mana huwa naishi kwa kanuni moja mwenye nacho huwa anajishusha Ila ambaye Hana anajinyanyua.
Ambaye Hana maarifa Sana na kitu ndiye mwenye kuongea sanaa kuhusu icho kitu sema ambaye anajua icho kitu nje ndani hauongei kitu anakaa kimya.
Mwenye kusema unanijua Ina Mana Ana low self-esteem so anajinyanyua..na wewe utakuwa ni kisu Sana hata unalindwa na bastola ndani so umeamua kujishusha. Mie nakunyanyua kuwa u kisu Cha Moto Tena Cha almasi na sio Cha chuma
Hizo chemistry kindakindaki hizo mwisho utanitandika risasi!🤣🤣🤣🤣aise hii si golden chance hii!! ngoja nijaribu bahati yangu !! joannah ,unaonaje tuyajenge ,huenda mm ndo chemistry wako kindakindaki!!
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anakudai figo?
Hamkawii akina Delilla...🤣🤣🤣🤣🤣Putin mjanja,kajua angekuwa na mke lazima angemuuza kwa NATO.....NINGEFURAHI SANA.
Huyo Said ndo kamuletea mtoto wa watu shida, mke mkubwa kajenga naye nyumba kaacha kuishi naye kwenye nyumba kamuacha atangetange, kaanza kuishi na wanawake bila ndoa wanamkimbia ila Swalha kamuoa kwa ndoa Sasa hao wanawake waliokuwa wanaachwa hovyo hovyo kwa ukorofi wake unategemea nini kama siyo watu wazuri? Bado bi mkubwa alimuzalisha mtoto mwingine akamuacha tena akaenda kufunga ndoa na Swalha huyu alikuwa mgonjwa wa akili.Kuna mambo ya Ushirikinaa kama yoteee... Mara washawahii kukuta njiwa wawili wamevishwa sandaa nyumbani kwaoo.. Hii yote ni tokana na Saidi kuwaacha wanawake aliotafuta nao na kubeba huyu slay queen naona Maex kuna mmoja akamnyooshaa maana nasikia ile nyumba kuna Mwanamke alijenga naee.. Hii dunia ina mengi sanaa
Hajafa yupo sana mama Ashirafu ila ni makubwa, mke mkubwa ndo kazaa naye mtoto wakiwa kwenye nyumba za kupanga huku wanajenga hiyo nyumba baada ya nyumba kuisha akapigwa stop kukanyaga huko akanyang'anywa na mtoto huyo Ashirafu akaenda kuishi naye huko kwenye nyumba waliyojenga na akawa anachukuwa wanawake anaishi nao bila ndoa wanamlea huyo mtoto wanashindwana wanaondoka ila Sasa Swalha katika wanawake wake wote ndo alifunga naye ndoa hivyo kuondoka kwake ilihitajika talaka kitu kilicholeta ugomvi, hata bi mkubwa hakuwa na ndoa naye ila alimuzalisha tena mtoto kabla ya kufunga ndoa na Swalha hivyo bi mkubwa akawa na watoto naye wawili bila ndoa.Nilipoona kuwa mke mkubwa naye alikufa nilikosa imani na bwana yule
Duh! Hii sijaipataNilipoona kuwa mke mkubwa naye alikufa nilikosa imani na bwana yule
[emoji848] mapya yanaibuka kila leo.Hajafa yupo sana mama Ashirafu ila ni makubwa, mke mkubwa ndo kazaa naye mtoto wakiwa kwenye nyumba za kupanga huku wanajenga hiyo nyumba baada ya nyumba kuisha akapigwa stop kukanyaga huko akanyang'anywa na mtoto huyo Ashirafu akaenda kuishi naye huko kwenye nyumba waliyojenga na akawa anachukuwa wanawake anaishi nao bila ndoa wanamlea huyo mtoto wanashindwana wanaondoka ila Sasa Swalha katika wanawake wake wote ndo alifunga naye ndoa hivyo kuondoka kwake ilihitajika talaka kitu kilicholeta ugomvi, hata bi mkubwa hakuwa na ndoa naye ila alimuzalisha tena mtoto kabla ya kufunga ndoa na Swalha hivyo bi mkubwa akawa na watoto naye wawili bila ndoa.
Kama ni kweli basi mwanaume nae alikua na shida mahali.Huyo Said ndo kamuletea mtoto wa watu shida, mke mkubwa kajenga naye nyumba kaacha kuishi naye kwenye nyumba kamuacha atangetange, kaanza kuishi na wanawake bila ndoa wanamkimbia ila Swalha kamuoa kwa ndoa Sasa hao wanawake waliokuwa wanaachwa hovyo hovyo kwa ukorofi wake unategemea nini kama siyo watu wazuri? Bado bi mkubwa alimuzalisha mtoto mwingine akamuacha tena akaenda kufunga ndoa na Swalha huyu alikuwa mgonjwa wa akili.
Shida hiyo mzee baba[emoji1787], mambo kwq kiasiKuoa pisi kali ni sawa na kujenga nyumba kwenye hifadhi ya road kila saa unaogopa kupigiwa x.