Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI


Na wanawake kibao tu wengine nimeona wanahojiwa walienda msibani musoma
Kuwa alikuwaana wivu mno na hataki mke utoke wala kwenda kusalimia kwao ukae nae yeye tu
 
Na wanawake kibao tu wengine nimeona wanahojiwa walienda msibani musoma
Kuwa alikuwaana wivu mno na hataki mke utoke wala kwenda kusalimia kwao ukae nae yeye tu
Hahah

Huoni kama ndiyo vizuri

Hutoki,unakaa naye tu

Ova
 
Mwanaume nae alikuwa na wanawake kibao tuView attachment 2248179
bila shaka hya ni maisha yke uko nyuma ambayo ata mkewe alikua nayo, pia bado haimake sense, enz za mababu zetu walkua na wake ata 10 ila ukuwai skia mwanamke ana wanaume wa5, hili limekaa kibiologia ,kimaumbile mke akiwa na wanaume nje ni uchafu na aibu kubwa sana kuliko mwanaume
 
Kibiolojia ndio inakuwaje mkuu?
 
Kivipi? nilikua namaanisha..
mbona imeeleweka maelezo ya awal, kwa kfupi maumbile ya mwanamke yanamfanya awe milki ya mtu mmoja tu ukiacha wale wa biashara ndomana nkasema uwez skia mwanamke kaolewa na wanaume wawili
 
Hii habari ina porojo nyingi sana...sababu kama 7000 hivi
The way ulivyoandika utadhani wanaume huwa ni watakatifu na huwa hawawakeri wanawake au wake zao. Je, na mwanamke naye awe na mchepuko ili mwanaume akimletea stress apate pa kuondolea stress? Mbona mnawafanya wanawake kama vile wana mioyo ya chuma ila wanaume ndiyo wameumbwa kwa nyama na damu? Hata chuma pia huwa kinafika mahali kinapata kutu. Wote me na ke tuheshimiane kwenye mahusiano.
 
[emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…