Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Yani how come unaua kisa mapenzi....hyo kitu uwa sikubaliani nayo especially kwa age yake.Miaka 37 unaua kisa mapenzi.
Na wanawake wapo kibao wazuri zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani how come unaua kisa mapenzi....hyo kitu uwa sikubaliani nayo especially kwa age yake.Miaka 37 unaua kisa mapenzi.
Haya mambo ni 50/50
Kuna wanawake pia ukiwachezea
Hisia zao wanaku shaya
CC: Yule dem aliyempiga kibiriti na petrol jamaa yk huko Mbezi Makabe
Ova
Huyo Said ndo kamuletea mtoto wa watu shida, mke mkubwa kajenga naye nyumba kaacha kuishi naye kwenye nyumba kamuacha atangetange, kaanza kuishi na wanawake bila ndoa wanamkimbia ila Swalha kamuoa kwa ndoa Sasa hao wanawake waliokuwa wanaachwa hovyo hovyo kwa ukorofi wake unategemea nini kama siyo watu wazuri? Bado bi mkubwa alimuzalisha mtoto mwingine akamuacha tena akaenda kufunga ndoa na Swalha huyu alikuwa mgonjwa wa akili.
HahahNa wanawake kibao tu wengine nimeona wanahojiwa walienda msibani musoma
Kuwa alikuwaana wivu mno na hataki mke utoke wala kwenda kusalimia kwao ukae nae yeye tu
Wakae wanaangaliana tu humo ndani?Hahah
Huoni kama ndiyo vizuri
Hutoki,unakaa naye tu
Ova
Kama masanamu..lolWakae wanaangaliana tu humo ndani?
bila shaka hya ni maisha yke uko nyuma ambayo ata mkewe alikua nayo, pia bado haimake sense, enz za mababu zetu walkua na wake ata 10 ila ukuwai skia mwanamke ana wanaume wa5, hili limekaa kibiologia ,kimaumbile mke akiwa na wanaume nje ni uchafu na aibu kubwa sana kuliko mwanaumeMwanaume nae alikuwa na wanawake kibao tuView attachment 2248179
Kibiolojia ndio inakuwaje mkuu?bila shaka hya ni maisha yke uko nyuma ambayo ata mkewe alikua nayo, pia bado haimake sense, enz za mababu zetu walkua na wake ata 10 ila ukuwai skia mwanamke ana wanaume wa5, hili limekaa kibiologia ,kimaumbile mke akiwa na wanaume nje ni uchafu na aibu kubwa sana kuliko mwanaume
Mmhhh. Hadi nimejiskia kichefchef.Mwanaume nae alikuwa na wanawake kibao tuView attachment 2248179
Yah,wapo wanaume ambao hawataki kabisa wake zao wafanye kaziWakae wanaangaliana tu humo ndani?
kibiolojia(biologically) = maumbileKibiolojia ndio inakuwaje mkuu?
kibiolojia(biologically) = maumbile
Huo ni utumwaHahah
Huoni kama ndiyo vizuri
Hutoki,unakaa naye tu
Ova
mbona imeeleweka maelezo ya awal, kwa kfupi maumbile ya mwanamke yanamfanya awe milki ya mtu mmoja tu ukiacha wale wa biashara ndomana nkasema uwez skia mwanamke kaolewa na wanaume wawiliKivipi? nilikua namaanisha..
Mi siweziHuoni wapemba mpk sokoni anakwenda kidume
Ova
Hii habari ina porojo nyingi sana...sababu kama 7000 hivi
The way ulivyoandika utadhani wanaume huwa ni watakatifu na huwa hawawakeri wanawake au wake zao. Je, na mwanamke naye awe na mchepuko ili mwanaume akimletea stress apate pa kuondolea stress? Mbona mnawafanya wanawake kama vile wana mioyo ya chuma ila wanaume ndiyo wameumbwa kwa nyama na damu? Hata chuma pia huwa kinafika mahali kinapata kutu. Wote me na ke tuheshimiane kwenye mahusiano.Huu ndo upumbavu wa mwanaume asiyechepuka. Kuna umuhimu wa kila mwanaume kuwa na mchepuko angalau mmoja ili kuepuesha stress zisizoeleweka. Wanaume wenye akili na wanaojitambua lazima awe na mchepuko ili njii kuu inapoleta shida inakuwa rahisi kuachana nae kisha kumpandisha cheo mchepuko. Kwa wale walokole wanaoshindwa kujua wapate vipi mchepuko kuna njia rahisi sana. Tongoza the best friend wa mke/mpenzi wako... hao BFF ndo maadui wakuu wa uhusiano/ndoa ya mkeo hivyo ni rahisi sana kuwa mchepuko wako. Na siku wife akizingua unampa surprise ya kumpandisha cheo BFF wake.
[emoji122]The way ulivyoandika utadhani wanaume huwa ni watakatifu na huwa hawawakeri wanawake au wake zao. Je, na mwanamke naye awe na mchepuko ili mwanaume akimletea stress apate pa kuondolea stress? Mbona mnawafanya wanawake kama vile wana mioyo ya chuma ila wanaume ndiyo wameumbwa kwa nyama na damu? Hata chuma pia huwa kinafika mahali kinapata kutu. Wote me na ke tuheshimiane kwenye mahusiano.
Tena baada ya 5 months tu!!!Wacha wengine tuchelewe kuoa tu, mbwembwe zote hizi wanaishia kutandikana vyuma