Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tukiona kimya tutajua parapanda imeshakuhusu.Aise hiyo sio kauli yakuinyamazia kabisa.Huyo inaonekana ana kitu kimemkaba kooni hapo kajisahau tu akaropoka na kuomba kwake msamaha bado hakuwezi kubadilisha dhamira aliyonayo.Kua makini sana.
 
Ndoa hizi zinahitaji AKILI kuzimudu. Hivi kama mme( hata kama hana interest ya kwenda) ukanunua tickets 2, mkaenda na mkeo, ukavumilia, kingeharibika kitu?. Huyu mwanamme hamwonei huruma mama yake? Is it worthy kwenda jela/ kujiua sababu ya mkeo kwenda concert?
Umewaza kijinga sana.
 
Hela inatafutwa kwa kuwekeza muda na akili, muda na akili vikiwekwa kwenye hela basi tambua muda wa kukufurahisha mtoto wa kike haupo...

Sasa unapoingia kwenye maisha ya watu kabla haujavuruga utaratibu wa maisha tambua hilo.... ukiamua kuolewa na watu wenye status fulani kubwa kwenye maisha basi ukubali kuwa mtulivu na kudadecate maisha yako.... maana watu hawa wametumia jasho na damu kuwa hapo walipo halafu wewe from nowhere unaingia kuvuruga maisha ya watu....Tafuta kapuku mwenzio muoane mtafute mali wote kwa jasho na damu...
 
Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.

Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.

Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.

Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.

Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?

By the way anything else Happen for a reason.

RIP Binti Mzuri

==================================

Mama mzazi wa marehemu, Bi Tiba Mohamed anasimulia kilichotokea kuhusu ndoa ya mwanaye na mumewe ambao wamedumu katika ndoa kwa muda wa miezi mitano, kwani walifunga pingu za maisha Desemba 30, 2021.

Anasimulia: “Watoto wangu waliitwa na baba yao hapa nyumbani (Mei 28, 2022), walipofika baba yao akapata dharura hivyo hakuzungumza nao nikabaki nao tukawa tunataniana tu.

“Alikuwa akinitania kwa kufurahi kuwafunga Simba akawa anishawishi na mimi nihamie Yanga (Yanga iliifunga Simba bao 1-0 siku hiyo kwenye CCM Kirumba Mei 28, 2022).

“Baadaye baba yake akapiga simu na kusema mume wa Swalha amepiga simu kumjulisha kuwa amefika na hivyo Swalha aende akampokee Igombe.

“Swalha akasema gari yake haina mafuta, hivyo wakakubaliana wakutane nyumbani na mwanaume akasisitiza kuwa ana njaa sana, akamtaka mke wake aende akampikie.

“Nikawasindikiza hadi barabarani mida ya saa moja usiku, muda huohuo mume wake akapiga simu akiwa anafoka, nikamtaka awe na subira mkewe anakuja yupo njiani.

CHANZO CHA UGOMVI
“Kuhusu ugomvi kati yao labda ni kuhusu simu, Jumatano iliyopita alipata tenda ya kwenda kumpodoa bibi harusi Shinyanga. Alipofika huko wakati akiwa kwenye kazi mume akawa anapigapiga simu, Swalha akawa anamwambia asimpigie kwa kuwa yupo kwenye kazi.

“Ijumaa jioni akawa anamtafuta hivyohivyo na kumsisitiza arudi nyumbani, Ijumaa hiyohiyo jioni akarudi akafika nyumbani usiku, mume akawa anapiga simu, Swalha akapokea na kumwambia anaomba apumzike kwa kuwa amepodoa watu wengi na amesimama muda mrefu hivyo amechoka.

“Mwanaume akawa anaendelea kupiga simu usiku huohuo, Swalha akalala, alikuja kushtuka saa tisa usiku akakuta miss call 42. Akampigia alivyopokea wakaanza kukwaruzana tena, mwanaume akawa analalamika na kumfokea alikuwa wapi na anafanya nini mpaka hapokei simu.

“Swalha alivyoona wanazidi kugombana akaamua kuweka simu pembeni ili ugomvi usiwe mkubwa.

“Asubuhi yake mume wake akanipigia simu na kusema kuwa mke wake amemjibu vibaya. Kwa hiyo ndio akapanga kurudi Mwanza.

“Baba yake alivyomuita hapa nyumbani nadhani alitaka wazungumze kuhusu hilo, lakini ikatokea wamepishana na mume alivyofika nadhani ugomvi utakuwa uliendelea.

KUHUSU KUPIGWA RISASI
“Taarifa ni za kweli, pale ndani (wanapoishi Swalha na mumewe) kulikuwa na watoto watatu wametuambia risasi zilipigwa.

“Wanasema huyo baba alikuwa na kawaida ya kuijaribu silaha yake, mara nyingine anapiga hewani, hivyo walivyosikia mlio wa risasi wakawandelea kulala.

“Ni hadi waliposikia Swalha amepiga kelele mara moja tu lakini risasi zikawa zinaendelea kupigwa. Mtoto mmoja akaenda kusikiliza mlangoni kwa Swalha kisha akatoka mbio kwenda kwa kuwataarifu majirani.

“Wakaenda Polisi, kumbe yule mtoto alivyotoka tu yule baba naye (mume wa Swalha) akaondoka. Polisi walivyofika wakauchukua mwili wa Swalha.

“Taarifa za tukio sisi tulianza kuzipata kutoka Kisiwani huko anapofanyia kazi (mume wa Swalha), ndipo majirani wa Swalha na askari wakaja kutoa taarifa wakisema mwanangu ana hali mbaya ameshambuliwa kwa risasi.

“Baba Swalha akaondoka na ndugu zangu kwenda huko maana nilibaki nyumbani, niliishiwa nguvu baada ya taarifa hizo, nikashindwa kwenda, saa tisa usiku wakarejea na ndipo nikajulishwa kuwa Swalha ameshafariki dunia.

“Marehemu hakuwa na mtoto na sijajua nini kinaendelea mpaka sasa.

“Kuhusu huyo mume wake haijulikani yuko wapi, kwani Polisi mara ya mwisho walisema wameangalia simu yake ikaonekana yupo maeneo ya Tunza.”

JESHI LA POLISI LINAMSAKA MTUHUMIWA
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi ni kuwa ni kweli tukio hilo limetokea kutokana na mgogoro wa ndani wa kifamilia na mtuhumiwa ametoroka, anaendelea kusakwa kwa kuwa alitoroka baada ya tukio.

Kuhusu madai kuwa mtuhumiwa ni mtu wa usalama kama inavyodaiwa na baadhi ya watu amesema sio kweli, ni mvuvi na anamiliki silaha yake kihalali. Jina lake halijatajwa kutokana na sababu maalum.

View attachment 2243941
RIP dada,

Jamaa mwenyewe anaonekana alkaeda
 
mabinti mkikuta watu na hela zao msilete tamaa ya nyie kuishi vizuri, muangalie na upande mwingine...

Mtu kawekeza muda wake kupata hizo mali, kataa kuolewa kama unaona shida yako ni fedha na si kujenga familia...Jitu linavua samaki huko ziwani linapambana na kila aina ya risk halafu kirahisi tu unakuja kuharibu utaratibu wa maisha, lazima ufe tu....bora yeye kapiga risasi, mwingine anakutumbukiza kwenye acid tu au anakutafutia cynide kama sio pollonium..

Jamaa kapata hela kaamua kuoa apate pumziko pale anapohitaji kupumzika, pumziko la mwili na stress zote... apewe huduma zote atulize akili yake halafu wewe kapuku mmoja unakuja kudisturb...
 
Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.

Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.

"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".

Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Fact baba wa watu!! Ni bora ukubali na kuanza upya kuliko kuishi mkishindana mwisho wa siku unakuja kuuwa
 
mabinti mkikuta watu na hela zao msilete tamaa ya nyie kuishi vizuri, muangalie na upande mwingine...

Mtu kawekeza muda wake kupata hizo mali, kataa kuolewa kama unaona shida yako ni fedha na si kujenga familia...Jitu linavua samaki huko ziwani linapambana na kila aina ya risk halafu kirahisi tu unakuja kuharibu utaratibu wa maisha, lazima ufe tu....bora yeye kapiga risasi, mwingine anakutumbukiza kwenye acid tu au anakutafutia cynide kama sio pollonium..

Jamaa kapata hela kaamua kuoa apate pumziko pale anapohitaji kupumzika, pumziko la mwili na stress zote... apewe huduma zote atulize akili yake halafu wewe kapuku mmoja unakuja kudisturb...
Haya tutaacha.
 
Wakuu story ni kwamba huyu jamaa kwenye picha amemuua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza ikidaiwa ni baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.

Baada ya kumwambia asiende kwenye hiyo show ya Nasib Abdul, mke akakaidi akaenda.

Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.

Ila na nyie Wanawake mpunguze visirani. Inaonesha jinsi huyu Marehemu alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme wake.

Mme kakuambia sitaki uende pahala fulani then wewe unakaidi ni nini kama sio dharau na kiburi?

By the way anything else Happen for a reason.

RIP Binti Mzuri

==================================

Mama mzazi wa marehemu, Bi Tiba Mohamed anasimulia kilichotokea kuhusu ndoa ya mwanaye na mumewe ambao wamedumu katika ndoa kwa muda wa miezi mitano, kwani walifunga pingu za maisha Desemba 30, 2021.

Anasimulia: “Watoto wangu waliitwa na baba yao hapa nyumbani (Mei 28, 2022), walipofika baba yao akapata dharura hivyo hakuzungumza nao nikabaki nao tukawa tunataniana tu.

“Alikuwa akinitania kwa kufurahi kuwafunga Simba akawa anishawishi na mimi nihamie Yanga (Yanga iliifunga Simba bao 1-0 siku hiyo kwenye CCM Kirumba Mei 28, 2022).

“Baadaye baba yake akapiga simu na kusema mume wa Swalha amepiga simu kumjulisha kuwa amefika na hivyo Swalha aende akampokee Igombe.

“Swalha akasema gari yake haina mafuta, hivyo wakakubaliana wakutane nyumbani na mwanaume akasisitiza kuwa ana njaa sana, akamtaka mke wake aende akampikie.

“Nikawasindikiza hadi barabarani mida ya saa moja usiku, muda huohuo mume wake akapiga simu akiwa anafoka, nikamtaka awe na subira mkewe anakuja yupo njiani.

CHANZO CHA UGOMVI
“Kuhusu ugomvi kati yao labda ni kuhusu simu, Jumatano iliyopita alipata tenda ya kwenda kumpodoa bibi harusi Shinyanga. Alipofika huko wakati akiwa kwenye kazi mume akawa anapigapiga simu, Swalha akawa anamwambia asimpigie kwa kuwa yupo kwenye kazi.

“Ijumaa jioni akawa anamtafuta hivyohivyo na kumsisitiza arudi nyumbani, Ijumaa hiyohiyo jioni akarudi akafika nyumbani usiku, mume akawa anapiga simu, Swalha akapokea na kumwambia anaomba apumzike kwa kuwa amepodoa watu wengi na amesimama muda mrefu hivyo amechoka.

“Mwanaume akawa anaendelea kupiga simu usiku huohuo, Swalha akalala, alikuja kushtuka saa tisa usiku akakuta miss call 42. Akampigia alivyopokea wakaanza kukwaruzana tena, mwanaume akawa analalamika na kumfokea alikuwa wapi na anafanya nini mpaka hapokei simu.

“Swalha alivyoona wanazidi kugombana akaamua kuweka simu pembeni ili ugomvi usiwe mkubwa.

“Asubuhi yake mume wake akanipigia simu na kusema kuwa mke wake amemjibu vibaya. Kwa hiyo ndio akapanga kurudi Mwanza.

“Baba yake alivyomuita hapa nyumbani nadhani alitaka wazungumze kuhusu hilo, lakini ikatokea wamepishana na mume alivyofika nadhani ugomvi utakuwa uliendelea.

KUHUSU KUPIGWA RISASI
“Taarifa ni za kweli, pale ndani (wanapoishi Swalha na mumewe) kulikuwa na watoto watatu wametuambia risasi zilipigwa.

“Wanasema huyo baba alikuwa na kawaida ya kuijaribu silaha yake, mara nyingine anapiga hewani, hivyo walivyosikia mlio wa risasi wakawandelea kulala.

“Ni hadi waliposikia Swalha amepiga kelele mara moja tu lakini risasi zikawa zinaendelea kupigwa. Mtoto mmoja akaenda kusikiliza mlangoni kwa Swalha kisha akatoka mbio kwenda kwa kuwataarifu majirani.

“Wakaenda Polisi, kumbe yule mtoto alivyotoka tu yule baba naye (mume wa Swalha) akaondoka. Polisi walivyofika wakauchukua mwili wa Swalha.

“Taarifa za tukio sisi tulianza kuzipata kutoka Kisiwani huko anapofanyia kazi (mume wa Swalha), ndipo majirani wa Swalha na askari wakaja kutoa taarifa wakisema mwanangu ana hali mbaya ameshambuliwa kwa risasi.

“Baba Swalha akaondoka na ndugu zangu kwenda huko maana nilibaki nyumbani, niliishiwa nguvu baada ya taarifa hizo, nikashindwa kwenda, saa tisa usiku wakarejea na ndipo nikajulishwa kuwa Swalha ameshafariki dunia.

“Marehemu hakuwa na mtoto na sijajua nini kinaendelea mpaka sasa.

“Kuhusu huyo mume wake haijulikani yuko wapi, kwani Polisi mara ya mwisho walisema wameangalia simu yake ikaonekana yupo maeneo ya Tunza.”

JESHI LA POLISI LINAMSAKA MTUHUMIWA
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ramadhani Ng'anzi ni kuwa ni kweli tukio hilo limetokea kutokana na mgogoro wa ndani wa kifamilia na mtuhumiwa ametoroka, anaendelea kusakwa kwa kuwa alitoroka baada ya tukio.

Kuhusu madai kuwa mtuhumiwa ni mtu wa usalama kama inavyodaiwa na baadhi ya watu amesema sio kweli, ni mvuvi na anamiliki silaha yake kihalali. Jina lake halijatajwa kutokana na sababu maalum.

View attachment 2243941
Hata akitoroka lazima atadakwa na kuozea jera..

Mtakoma kama kuacha hamuwezi
 
Wanawake hawapendi wanaangalia maisha yapo wapi simple as that. Sasa wewe jidanganye kuwa wapendwa itakula kwako
"Never underestimate the potential cruelty of women; their sexual nature is ruthless in easily discarding men perceived to be of low worth and trading up when the opportunity presents itself."

Women are biologically hardwired to be able to branch swing to a higher status man - given the opportunity. Hypergamy is a bitch. One day she loves you, the next day she doesn't care if you're dead.
 
sishabikii mauaji au aina yoyote ya domestic violence.

ila huyu dada kwa kumtazama haraka haraka,hakuwa wife material.

ni aina ya wale wadada wadangaji ambao wanapenda kushobokea watu maarufu.

roho yake ipumzike mahala pema peponi.
JamiiForums-27384185.jpg
 
Kabla ya ukoloni kuleta Dini Africa kwa mababu zetu, walikuta mababu zetu wanaoa mke zaidi ya mmoja na wanaishi kwenye mji mmoja comfortably.....

Waislamu wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja na wanaishi comfortably..

Kwenye Bible tunaona zipo hadithi za Mitume na manabii kuwa na wake zaidi ya mmoja na waliishi bila shida...

Hakuna niliposikia mwanamke anaolewa na mwanaume zaidi ya mmoja, hakuna palipoandikwa kwenye dini yeyote mwanamke anaolewa na mwanamme zaidi ya mmoja, Hakuna historia yeyote ya mababu inayosema yupo mwanamke aliyeolewa na mwanaume zaidi ya mmoja..

Mwanamke kuwa na uhusiano na wanaume huku na kule huwa ni fedheha kwa Mwanamke na jamii humuita na kumuona malaya japo hufanya kwa kificho, Mwanamme kuwa na mahusiano meengi sio issue na jamii huona kawaida kwasababu hiyo ni sifa ya mwanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja...

Kuishi tofauto na nature ya mwanadamu ndio kumemfanya Mwanamke kuwa kiumbe korofi na kutaka umiliki wa ufalme...HAPANA ..
So tuhitimishe kwa kusema watakufa sana!!!
 
Kwa hiyo? umesoma ulichoandika kweli? hata kama mke malaya au sababu yoyote ile ndio humtoe uhai ili iweje? sasa kamuuwa yeye nini alichopata kikubwa kaharibu maisha yake na family yake. Najuwa kuna maudhi yanatokea katika mahisiano na wakati mwingine unampenda sana na inauma lakini sio kumalizana sababu ya mapenzi. Kama walifikia mpaka kufunga ndoa ina maana walipendana ikiwa yametokea haya kutoaminiana huwezi fanya mchakato muachane japo najuwa sio rahisi. So sad ila mwanamme wa kweli hupigi mwanamke move on.
Mwanaume wa kweli lazima akupige tukio, unakuwaje fala kisa mapenzi. Kama huna bastola zamisha kisu cha bega. Hawa wanawake wana ufala mwingi na tumekubaliana ndio dawa yao hiyo.
 
Kupata mwanamke anaekusikiliza na kukuheshimu kama baba yake ni baraka kubwa sana ambayo wengi wanaikosa katika kizazi hiki, Asante Mungu.

Muda mwingine sisi wanaume tunashindwa kusimamia uanaume wetu, hivi Mungu kakujalia Pesa na afya ya nini kung'ang'ania mwanamke anaekuumiza akili?? Najua mapenzi yanauma na pengine labda kuna watu wapo humu jf muda huu wanapitia fukuto la mahusiano, nawashauri mfanye maamzi ya kiume kabla hamjachelewa.

"Every woman in any given reletionship, is taken as the man's project".

Project imekushinda, achia wengine wahangaike nayo kwanini uumie?
Mmmmh.......maneno kuntu hayo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume wa kweli lazima akupige tukio, unakuwaje fala kisa mapenzi. Kama huna bastola zamisha kisu cha bega. Hawa wanawake wana ufala mwingi na tumekubaliana ndio dawa yao hiyo.
Hahahaha aiseeh😄
 
machaguo ni wawili tu..... either unamtafute anayekugonga na kukusuuza moyo ila hana kitu na uachane na hela za watu au unamtafute mwenye hela na uwe mtulivu..

Utagundua wengi wa hawa ndugu zetu ni Tamaa.

Hakuna Mwanaume utamkuta anamiliki hela za wewe kusumbulia mjini halafu akakuridhisha na matamanio yako..... wengi wenye vipato wamewekeza muda wao kwenye utafutaji wa hela na kuset standard za maisha yao hivyo muda wa kukuridhisha wewe unakuwa haupo..
Una akili sana.kuna muda smt wife Ana maindi namwambia nawaza namna gani nutalipia wanangu Ada pale Oxford University that's all. Mpaka smt haiamki
 
Back
Top Bottom