Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa kumpiga risasi 7 kichwani, chanzo ni simu. Mume naye akutwa AMEFARIKI

ndio huyu?
Sio,yeye huyu
globaltvonline_-16538774986774.jpg
 
Broo usiseme,hujawahi penda demu halafu umejitoa kwake moyo na gharama halafu azingue
Hakuna demu wa kunibabaisha hapa Duniani hayupo,Nina uwezo wa kuhimili hisia kuliko kawaida na Nina psychology ya kubwa Sana Kuhusu mwanamke..

Ukute wewe ulipo hapo unahisi huyo mwanamke wako eti ni malaika,pole Sana subiria tukio tuu..

Mwisho ukijifunza ku balance akili na hisia hakuna kitu kigumu ila nyie mnaojifanya kupenda aisee huwa mna matukio huku mtaani hadi sio poa 😆😆
 
Ujue heri hio hela ya kumpa mmoja wekeza kwa wake wawili itapunguza presha kidogo aka hedging
Sasa wanawake wenyewe wakibongo ndio mnaleta ngumu kuolewa muwe wake wa pili ila kuwa michepuko mnaona poa... Kwenye vikao vyenu ambizaneni ukweli tuwawowe michepuko kama wake wadogo
 
Hakuna demu wa kunibabaisha hapa Duniani hayupo,Nina uwezo wa kuhimili hisia kuliko kawaida na Nina psychology ya kubwa Sana Kuhusu mwanamke..

Ukute wewe ulipo hapo unahisi huyo mwanamke wako eti ni malaika,pole Sana subiria tukio tuu..

Mwisho ukijifunza ku balance akili na hisia hakuna kitu kigumu ila nyie mnaojifanya kupenda aisee huwa mna matukio huku mtaani hadi sio poa [emoji38][emoji38]
Mkuu nifundishe jinsi yakukwepa hisia
 
Kama muhusika amefariki,na mwingine hajulikani nyie mmejuaje kuwa alimkataza??

Polisi Jijini Mwanza wamethibitisha kwamba mwili wa Mfanyabiashara Said Mganga (37) anayedaiwa kumuua kwa risasi Mke wake Swalha Salum (28) umekutwa ufukweni mwa ziwa Victoria akiwa na jeraha la risasi kidevuni ikiaminika alijipiga.

Akiongea na AyoTV Kaimu Kamanda wa Polisi Mwanza Mairi Makori amethibitisha kifo hicho na mwili huo kuopolewa ambapo amenukuliwa akisema "mwili huo umeopolewa ziwani eneo la ufukwe wa Rock Beach ukiwa na majeraha ya risasi kajipiga kidevuni, tumejiridhisha kuwa ndiye Mtuhumiwa wa mauaji ya Swalha” #MillardAyoUPDATES
 
Sasa wanawake wenyewe wakibongo ndio mnaleta ngumu kuolewa muwe wake wa pili ila kuwa michepuko mnaona poa... Kwenye vikao vyenu ambizaneni ukweli tuwawowe michepuko kama wake wadogo
Mana wanaume akili zenu mnazijua wenyewe
 
Mana wanaume akili zenu mnazijua wenyewe
Ulianza vizuri sasa unaharibu🤣🤣🤣🤣
Ata nyie wanawake akili zenu mnazijua wenyewe. Kwani wewe tatizo nini kwa mwanaume kuwana na mlimbwende mwengine ambaye anaipelekea moto mbususu yake?
 
Mkuu nifundishe jinsi yakukwepa hisia
Kwani wewe huwa hutongoz wanawake hususani wake za watu?

Kwani wanakuaga wamekosa nini huko kwa waume zao?

Ukijua hili inamaana unalihamishia kwa Mkeo Ili ukijua usipate tabu saaana ya kufikia huko kuua na kujiua au kuishia jela..

Pili usije kujidanganya kwamba eti Kwa kuwa sijui una tuhela sijui nini ndio utamridhisha mwanamke,haipogo ..

Mwisho jifunze kutafuta Furaha bila kutegemea uwepo wa mtu mwingine hasa mwanamke..
 
Hakuna demu wa kunibabaisha hapa Duniani hayupo,Nina uwezo wa kuhimili hisia kuliko kawaida na Nina psychology ya kubwa Sana Kuhusu mwanamke..

Ukute wewe ulipo hapo unahisi huyo mwanamke wako eti ni malaika,pole Sana subiria tukio tuu..

Mwisho ukijifunza ku balance akili na hisia hakuna kitu kigumu ila nyie mnaojifanya kupenda aisee huwa mna matukio huku mtaani hadi sio poa [emoji38][emoji38]
Ni sawa ila usiseme hupendi kabisa,poa kama hugharamii sawa,pesa inauma meku
 
Mwanamke umempata baa,kumbi za starehe unategemea ukimuweka ndani ataacha kuna vitu vipo ndani ya moyo kuacha haiwezekani labla mhusika aamue mwenyewe,Watu wajifunze kuoa wa kufanana nao.
Kokote utakakompata sio guarantee..Mimi hao wa Bar siwezi oa kwa sababu moja tuu ya kwamba kiwango Chao cha utu kimepungua kwa hiyo wanaweza hata kukuua kwa sababu mbalimbali tuu..
 
Ni sawa ila usiseme hupendi kabisa,poa kama hugharamii sawa,pesa inauma meku
Hakuna mtunasiyependa kabisa ila unapopenda uwe na stamina kwamba mtu akikukataa usepe sio kulazimisha au kujifanya unaonyesha saaana upendo sijui unakuwa unatafuta nini hasa...

Kupenda kwangu kuna mipaka na Kuna kiasi,hakuna mtu ataniendesha Kisa uzuri wake ,sijui wengine maana tumetofautiana Sana.
 
Back
Top Bottom