Huyu nae anaongea nini bwana wanawake 99% tunaooa ni malaya tu. Utayari na sifa za kuwa mke wanazikosa toka pale unagegedwa kabla ya kuolewa simple as that. Tayari unaonyesha huna sifa kuu ya kuwa kwenye ndoa; uvumilivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu nae anaongea nini bwana wanawake 99% tunaooa ni malaya tu. Utayari na sifa za kuwa mke wanazikosa toka pale unagegedwa kabla ya kuolewa simple as that. Tayari unaonyesha huna sifa kuu ya kuwa kwenye ndoa; uvumilivu
Mwanaume kuwa na wivu kuelekea mwanamke wako ni ujinga...stress zote hizi ni za kujitakia tuu. Wewe hapa duniani hamna mbususu yako peke yako. Kwani huyo mwanamke alimuoa akiwa bikra?Kwa wivu wa kijinga wa yule jamaa alitakiwa afanye hivyo na kama mwanamke angekataa angeachana nae,kuliko hivyo alivyofanya
Sipendi mwanaume anayependa kupitiliza!wanakuwa weak sana...Mumewe alikuwa anampenda Hadi Wivu lakini ukute na yeye alikuwa na Mchepuko waku anauhusudu! Risasi Saba lazima Zirindime Hapo!
Mimi nilimuachisha kazi mapema kabisa, maana unakuta mtu yupo busy kutwa maofsini na kupewa oder mbalimbali na mabosi wake afu unakuta mshahara wenyewe labda ni 300K hela ambayo wewe unaiiingiza mara 15 ( 4.5M), ya nini sasa?Kwa wivu wa kijinga wa yule jamaa alitakiwa afanye hivyo na kama mwanamke angekataa angeachana nae,kuliko hivyo alivyofanya
Sasa mnapiga alafu nani wawaoe🤣🤣🤣🤣Sema pia kuna makabila yakuepuka kuoa maana mara nyingi story zao ni hz. Hao warangi sioi kwa kweli labda kupiga tu.
Ha ha ndo hivyo sema watu wabishi sana..utasikia kila mwanamke mzuri[emoji3][emoji3]Kabisa kuna wanawake wana sura personal hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa alizingua mno.Kama alijaribu hivi na binti akagoma angefanya namna ya kuachana nae,nacho mlaumu huyu mwamba ni kuoa mwanamke maarufu wakati ana wivu wa hatari hivi
Mwanza. Mtoto mwenye umri wa miaka 15 (jina linahifadhiwa) amesimulia jinsi alivyobaini mwili wa dada yake, Swalha Salum (28) ukiwa kitandani ukivuja damu baada ya kupigwa risasi.Hiyo clip iko wp!
Kwa vyovyote vile jamaa alitia mpunga mzito kwenye biashara za huyo mdada ..!! Nigga penzi lili-mdrive crazy Sana , Kwa wajanja wa mjini demu wa hvyo huoi , kila mtu na mishe zake mnakutana unapiga mzigo unachora , sku mmezaa na mtoto mmeshibana sasa ndo unasogeza ..demu hajatotoa unamwingiza ndani wa nini , af miez Mitano yote hajavimba tumbo , mtu mwenyewe kutwa Photoshop lazima wenye verosa wapite nae tuu, we kutwa nzima upo ziwani unakimbizana na samakiIlipaswa amuachishe,na amtengenezee biashara za kuwa eneo moja kila siku
Sio kila mwanamke ataolewa kuna wakuzalishwakuna machangu kuna wakutusaidia kupunguza ugumu na ukameSasa mnapiga alafu nani wawaoe🤣🤣🤣🤣
Kikubwa usile hela zake tu, we kama humpendi muweke wazi, sio kumtumia kama ngazi ilhali unajua humpendi au kama unataka hela zake mwambie akununue tu ili mkimaliza kila mtu apite na zake (mnakuwa https://jamii.app/JFUserGuide mates)Sipendi mwanaume anayependa kupitiliza!wanakuwa weak sana
Sio kampeni huu ndio ukweli. Alafu sijataja sura personal hayo ni yako [emoji23]Sasa waoaji ndio waweke ndani ng'ong'ozo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona hii kama kampeni ya wale sura personal kupata ndoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watu wakimya hawafai kabisa wanarundika mavitu moyoni hawasemi siku ya siku yanatokea kama yaliyotokea.
Slay queen kuvimba tumbo sio swala rahisi maana huwa wanaona kama inawashusha hadhi kwenye tasnia yao ya udangaji.Kwa vyovyote vile jamaa alitia mpunga mzito Kwa huyo mdada ..!! Nigga penzi lili-mdrive crazy Sana , Kwa wajanja wa mjini demu wa hvyo huoi , kila mtu na mishe zake mnakutana unapiga mzigo unachora , sku mmezaa na mtoto mmeshibana sasa ndo unasogeza ..demu hajatotoa unamwingiza ndani wa nini , af miez Mitano yote hajavimba tumbo , mtu mwenyewe kutwa Photoshop lazima wenye verosa wapite nae tuu, we kutwa nzima upo ziwani unakimbizana na samaki
Ni kama hoja yako imebeba ubaguzi fulani ndani yake kwani wanawake wazuri wana nini tatizo wanaume ukioa mke mzuri ukua unamchunga sana na wivu sana matokeo yake ndo kama hayo masuala ya kitabia hayatokani na uzuri ispokua malezi kabla hujaoa angalia kwanza miendo ya mtu unaetaka kumuoa.Vijana watafutaji na wadogo zetu mliopo kanda ya ziwa mnatushangaza asilimia kubwa.
Vijana waliopo mkoani tena kanda ya ziwa kiukweli wamaebarikiwa kwa utafutaji swala la madini na kuwa na ukwasi mkubwa wapesa hata ukumiliki silaha.
Tambua silaha hapa bongo umiliki kama pesa sio nzuri ndio sheria yetu inavosema labda kwengine.
Duhh!! Hujampa hata kabiashara tu hapo hapo nyumbani?Mimi nilimuachisha kazi mapema kabisa, maana unakuta mtu yupo busy kutwa maofsini na kupewa oder mbalimbali na mabosi wake afu unakuta mshahara wenyewe labda ni 300K hela ambayo wewe unaiiingiza mara 15 ( 4.5M), ya nini sasa?
Nilimfanya akawa mama wa nyumbani mwaka wa 9 huu na kila kitu kinaenda sawa.