Mume amburuza mke mahakamani baada ya kumfumania

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
11,786
Reaction score
18,562
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3 Kila mmoja ama waende jela miezi 6, mgoni kafanikiwa kulipia laki 3 na juachiwa huru ila mke kashindwa kulipa na hivyo ameamriwa na mahakama kutumikia kifungo Cha miezi 6 jela.
 
jela
 
Safi kiroho safi kabisa..ila hapomwamba halikuwa hampendi mkewe acheni kabisa kuhusu fumanizi..
 
Daah
Mke anaenda kuwa mboga ya bwana jela miezi 6. 🤣🤣🤣
 
Yaani amekula mkewe na akafanikiwa kulipa faini, harafu mkewe akabaki gerezani?🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…