Mume amburuza mke mahakamani baada ya kumfumania

Yaani amekula mkewe na akafanikiwa kulipa faini, harafu mkewe akabaki gerezani?🤔🤔
Amegongewa mkewe na aliyemgonga mkewe kalipa faini kuepuka kifungo ila mke kashindwa kulipa faini hivyo anaenda kutumikia kifungo Cha miezi 6 jela.
 
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3 Kila mmoja ama waende jela miezi 6, mgoni kafanikiwa kulipia laki 3 ila mke kashindwa kulipa na hivyo ameamriwa na mahakama kutumikia kifungo Cha miezi 6 jela.
Wakiwa wanagongwa huko nje hujiona wanapendwa sana.
Hata akiachwa ataolewa tu, jamaa aliyemgonga amemuacha.😀😀😀
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumuoa mwanamke ambaye alikuwq anamcheat mumewe
 
Hii imetokea kisiwani Zanzibar jamaa kumfumania mke wake analiwa nyumbn kwake wanapoishi yeye na mke wake, baada ya fumanizi jamaa akawapeleka polisi wote wawili mke wake na mgoni wake Kisha akaenda kufungua kesi mahakamani, kesi imesikilizwa mke na mgoni wameamriwa ama walipe faini ya laki 3 Kila mmoja ama waende jela miezi 6, mgoni kafanikiwa kulipia laki 3 ila mke kashindwa kulipa na hivyo ameamriwa na mahakama kutumikia kifungo Cha miezi 6 jela.
Good move...
 
Kwa zenji hilo ni kosa la jinai
Kwa tanganyika hapo ingekuwa
Madam!

Ova
 
Back
Top Bottom