Mume amburuza mke mahakamani baada ya kumfumania

Yaani amekula mkewe na akafanikiwa kulipa faini, harafu mkewe akabaki gerezani?πŸ€”πŸ€”
Amegongewa mkewe na aliyemgonga mkewe kalipa faini kuepuka kifungo ila mke kashindwa kulipa faini hivyo anaenda kutumikia kifungo Cha miezi 6 jela.
 
Wakiwa wanagongwa huko nje hujiona wanapendwa sana.
Hata akiachwa ataolewa tu, jamaa aliyemgonga amemuacha.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kumuoa mwanamke ambaye alikuwq anamcheat mumewe
 
Good move...
 
Kwa zenji hilo ni kosa la jinai
Kwa tanganyika hapo ingekuwa
Madam!

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…