Mume amburuza mke mahakamani baada ya kumfumania

Duh..
Mbona adhabu ndogo kwa kosa kubwa?!
Halafu, mwenye mke kapata manufaa gani kutokana na hiyo kesi?
Naona bora ukodishe hitmen au waf*raji tu
 
Ongelea nafsi yako.
Wengine wanathaminiwa
Hakuna anaekuthamin mtu jinga unaenipa uchi wa heshima kwa mme wako .mfano mmeo akifa .nitakuwa zoba kukuoa ww likahaba usie heshimu ndoa yako ndo maana tunawala jicho na ukwel hakuna hawala asiekuanika kwq rafiki zake
 
Hakuna anaekuthamin mtu jinga unaenipa uchi wa heshima kwa mme wako .mfano mmeo akifa .nitakuwa zoba kukuoa ww likahaba usie heshimu ndoa yako ndo maana tunawala jicho
Wewe mume wa mtu humvunjii heshima mkeo wa kutembea na mke wa mwanaume mwingine?
Nani amekwambia akifiwa na mume wake atataka kuolewa na wewe? Au hata kuolewa tena?
Ukiona umemla jicho basi elewa ya kwamba hujamkomoa , ndo starehe yake anafurahia...
 
Kwa iyo mgoni kashindwa kumlipia kitu iliyompa utamu
 
drone drake nakuita huku hahaha
 

Huko tunapoelekea , bora niwe kama akina dangote au bill gate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…