Mume amng'oa meno mke wake kisa Tsh. 200!

Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

hiyo ni highest level of insecurity
 
M NILIWAHI MWAMBIA DC MMOJA PALE TARIME HILI JINANMARA BADILISHENI LITAWATESA

UKISOMAAA BIBLIAA MARA N UCHUNGUU SO WALE JAMAAA MPAKA YESU ANARUDI MATUKIO KWAO N KAWAIDA TU NA MWENDELEZO
 
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

Watu wana njaa kiasi cha kumn'goa mke wako meno kwa Shilingi 200 tu? Kweli Wabongo muna matatizo ya akili poleni sana Wabongo .Bado mutaisoma namba..
 
Jeshi la polisi mkoa wa Mara liunamshikilia mtu mmoja aitwaye Mussa Abdalah mkazi wa kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma kwa tuhuma za kufanya kitendo cha ukatili cha kumng’oa meno matatu mke wake kwa kutumia plaizi kwa madai ya kutumia shilling mia mbili kumnunulia mtoto wao andazi.

Watu wa kanda ya ziwa wana ubabe wa kipunguani!
Yani wako uncivilized kabisa.
 
Uolewe na mtu wa Mara awe amepitia kada ya uaskari lazima unyeee

Haka kamtindo washawaambukiza na majirani zao na watani wao, kiujumla kanda ya nyonyo wanaume ni makatili vibaya
 
Back
Top Bottom