Mume amng'oa meno mke wake kisa Tsh. 200!

Mume amng'oa meno mke wake kisa Tsh. 200!

Samia kaharibu sana uchumi.watu wamekuwa masikini wa kupindukia hadi kugombania shilingi miambilinkweli?.Nchi Iko hoi taabani kabisa.
 
Mkoa wa mara ukatili umerudi tena!

Nasubiri surprise killer's ya moshi au arusha wivu wa mapenzi/mauwaji ya umiliki wa mali

Njombe na iringa pametulia kidogo, wamebaki Arusha, moshi na Geita, kidogo na mbeya.
 
Mi juzi demi kanilia afu 30 na mbususu hakunipa. Sasa nikawaza huyu angekuwa kala hiyo Hela huko Kwa kina mura sijui wangemng'oa Nini?
 
Back
Top Bottom