Mume ana wivu

Hivi tofauti kati ya wivu na insecurity ni nini? MJ1 please dadavua hapa.
Bigirita nikisoma katikati ya mistari ni kama vile unanituhumu mimi kuwa na wivu na gubu lol

Haya kaka nijuavyo mie
Wivu ni
1. Ile hali ya mtu kumwonea kijicho mwenzie kwamba anafaidi kushinda yeye.
2. Wivu (mzuri) wa mapenzi ni ile hali ya mtu kutaka mwenzie awe mali yake peke yake yaani amiliki yeye (Kwa maana ya kuwa penzi anapewa yeye peke yake)
Wivu (Mbaya) wa mapenzi - Ni ile hali ya mtu kutomuamini mwenzi wake kwa lolote lile hususani kimapenzi; ni ile hali ya kumhisi mpenzio kuwa anakucheat na kufaidisha wengine kila mara na kumghasi juu ya assumptions zako.

GUBU: Ni ile hali ya kuwa ma manung'uniko ya kila mara yaani wewe utendewe jema, walalama, utendewe baya walalama, usipotendewa kitu walalama.
 
MJ1 nilikuwa sijui kama kuna wivu mbaya na wivu mzuri mimi huwa najua kuna wivu tu si ndio :biggrin1:
 
Huyu sista alifanya mistake kwa kutokuacha 'usalama' nyumbani. Arudi, atafute house girl mkali hasa, amuache hom na amwambie mumewe, 'atulie nyumbani'...
 
hivi kuna visababishi katika hizi hali ulizozielezea? hebu nisaidie mtaalamu wa problem tree. hizo hali zote hapo zinasababishwa na nini? na ni kwa nini zipo tofauti kati ya mtu na mtu. Najua watu wapo tofauti, lakini najua kuna watu hawana problema na GUBU na kuna watu hawana problem na Wivu mbaya.

Root course please............kwa nini mtu anakuwa na wifu mbaya au GUBU?....Mtaalamu tafadhali tusaidie hapo
 
Huyu sista alifanya mistake kwa kutokuacha 'usalama' nyumbani. Arudi, atafute house girl mkali hasa, amuache hom na amwambie mumewe, 'atulie nyumbani'...

Dena Huyo Dada asiache kazi bali ajaribu jinsi ya kumtuliza mume wake na awe anapiga simu siyo amsubiri hadi mumewe ampigie.
 
Nimejikuta nakumbuka Marangu Mtoni bila kutegemea.

Anyway ngoja niwaacheni na mtaalam wako ambaye pia ni mjukuu wangu.

Ila msichakachuane kwa sababu Malaria Haikubaliki!
 
Nimejikuta nakumbuka Marangu Mtoni bila kutegemea.

Anyway ngoja niwaacheni na mtaalam wako ambaye pia ni mjukuu wangu.

Ila msichakachuane kwa sababu Malaria Haikubaliki!

Mmmhhh Asprin una maneno nawe!!!
 
Kwi kwi kwi nimecheka mimi mpaka hapa ofcn wananishangaa lol JF si mchezo. Mama matesha sidhani kama huwa ananuna uko nyumbani naanza kumuonea wivu. Tukirudi kwenye topic hapo kwenye bold hapo ingekuwa wanaume wote wanafanya hivyo basi wanawake wasingehangaika sana ila wanaume wengi hawatimizi mahitaji ya familia wanakazi ya kusema tu mimi ni kichwa cha familia na huyo mdada mumewe angekuwa anawajibika ipasavyo sidhani angeenda huko
 
Nimejikuta nakumbuka Marangu Mtoni bila kutegemea.

Anyway ngoja niwaacheni na mtaalam wako ambaye pia ni mjukuu wangu.

Ila msichakachuane kwa sababu Malaria Haikubaliki!
naona unasahau sheria........hivi wewe ni mhazini?
 
Jamani hivi lile kontena kule mbeya wamesema lina vipodozi ama makaratasi>? mwenye info anijuze:mmph:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…