Mume anahitajika 36+

Nipo 0742302926
 
Yaani usingebagua dini Mimi ningekuwa tayari maana kwa miaka hiyo tinge. Patana tu sasa dini ,hivi wewe unamuamini mungu yupi
 
Mme wako wa zamani anaishi wapi? Maana kuna kurudi kukumbushia, si unajua kuwa mtalaka hatongozwi?
 
Me tatizo Nina miaka 34
 
Hapo kwenye watoto wawili ni sawa na timu ya mpira kuongoza mbili bila kabla mpira haujaanza.
 
Ni kweli,lakin inategemea na mtu kama yuko tayar kwa hilo mpenzi,wengi wanastop then wakipata changamoto kidogo wanarud kunywa ili kupunguza stress
Utampa stress tena Mmh au hutatulia
 
Mi naonja Pombe kidogooooo nisha kosa jiko hapa
 
Wewe kama ni mnada basi nyumba za Lugumu, hakuna mteja.

Kwanza hueleweki unataka mume au UNICEF?

Mwanaume asiyekunywa pombe hata kichwa yake huwa haiko sawasawa.
Naheshim mtazamo wako,asante
 
Npo mwz nambie tukutane wapi mama.
Maaana unafaa ktk kuyajenga aise.
 
Huyu anasumbua bwana mie nimeenda mpaka Mwanza namtafuta anaingia mitini
 
Kwanini mtu anaejiunga tuu Jf huanza na mume au mke anahitajika kwani wanakujaga kutafuta wa chumba humu
 
Sasa unaweka masharti ya kutokunywa pombe! Hapo unataka mume,au poyoyo!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…