Mume anahitajika 36+

Dada kua makini,
Huu Uzi Umejaa Wazee wa "Hit/Eat and Run" wa kutosha tu.
 
Weka picha yako kwanza matangazo bila picha hainogi
 
Wanaume wanywa pombe ndo wanakufaa wewe mama wawili maana wao hawana hiyana wala hawajali suala la kuwa wanaowalea ni wa nani.

Pia ndio watafutaji wazuri wa pesa kuliko hao wasiokunywa wameridhika halafu ni malaya wengi wao
 
Asante kwa ushauri,ntaufanyia kazi
 
Me shabb nna miaka 24 ...duh mbna tumetengwa na sis tuna raha yaje
 
Duhh me Nina miaka 24 ...naona ss mashabab tushatengwa Ila tunajua kupenda ....nielekeze uko pm nikipata mda nikufuate nikulilie
 
Watoto siyo ajabu nakuombea upate itaji la moyo wako mpendwa Mungu anajibu maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…