reuben makene
Member
- May 12, 2011
- 55
- 86
Nitafute 0754363750 au 0784501278Habari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.
Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.
Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
When a dude is interested, is a real n gud thingKwann mliachana nae?!mlikuwa pamoja kwa mida gani?!
Kwa jinsi ulivyomalizia hiyo meseji yako napenda kuelezea kwa kina jinsi nilivyovunjika moyo na kukata tamaa na hamu kuniisha ya kuwa mke wangu.Habari wana JF,
Natafuta mume aliye tayari kuwa nami katika hali zote, mimi nina umri wa miaka 34, mwalimu wa shule moja ya sec mjini Mwanza.
Nilibahatika kuolewa lakini bahati mbaya nilitendwa vibaya na nikaamua kuachia ngazi, nina watoto wawili wa kike na ni mkristo.
Mume nimtakaye awe na sifa zifuatazo awe na miaka 36+, rangi yoyote, kabila lolote, dini mkristo, asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara, ajue thamani ya mke na awe tayari kulea watoto wangu.
Mwenye uhitaji kama wangu karibu PM tuyajenge, astalavista..
WEKA PICHA.....
Ha ha yataka moyo ukifanya hivyo nina uhakika ni robo tatu ya u pastor au shekhe [emoji23][emoji23][emoji23]Hehehehehe hapo kwny malezi ndio ugumu unapoanza.
Mtu hana hata mtt anaoa tu tayari anakuwa nao wawili wakubwa
Asante!Mi nakupenda!
tuyajenge!Asante!
Wanipendea nini [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na mimi nimetendwa nina mtoto mmoja,ila tatizo dini tuSipatani na pombe baba
Kaributuyajenge!
Nafasi bado unayo,acha pombe ujipatie mkeNimeisha kosa mke sababu ya mi pombe
Hehehehehe hapo kwny malezi ndio ugumu unapoanza.
Mtu hana hata mtt anaoa tu tayari anakuwa nao wawili wakubwa
Nafasi bado unayo,acha pombe ujipatie mke