harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
[emoji125] [emoji125] [emoji125] tumeanza lini kuigana mkuuNaona x wako mliachana kwa ulevi wake,.. si ndiyo? basi siyo walevi wote ni wabaya mi hata kama sina hela ya kulewea mke wangu ananipa nikalewe maana nikiwa high huwa nampenda na nakuwa romantic kwake sana. bila kulewa hata kuongea ndani ya nyumba inakuwa shida basi anakuwa bored mpaka anadhamini nikapige mbili na nyagi ndogo basi nikishakunywa niambie hiyo spidi ninayomrudia sasa, utaipenda