Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Kwa majibu haya!!sina asira, niwe na asila nawe kwani unanitunza anayenitunza ajanichoka
Vigezo vyote ninavyo,sasa basi njoo PM kuyajenge fastaAwe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Kama ukijaribiwa na mume wa mtu, utamtambuaje hata usimjibu...[emoji15] [emoji15]Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Nilidhani nimeona pekeyangu...... [emoji12] [emoji12]mbona kama una hasira sasa?
Kwa majibu haya utakuwa single mama!sina asira, niwe na asila nawe kwani unanitunza anayenitunza ajanichoka
umemtumia nani?Nshatuma pm kama 5 hazijajibiwa
we unadhani kwakuwa naitaji kuolewa nichukue kila anaye kuja siitaji ndoa ya wiki 1 au mwk 1 naitaji ndoa ya maisha
endelea kufanya mazoezi ukioa umri uo ukifika miaka 30 ulisha kuwa na wake 2 au zaidi au una watoto mama zao awajulikan wako wapi?
we anza kutaja uliolala nao kwanza kisha mi ntakutajia adi majina yao kama unataka ila usiwaloge
Mkuu......sina asira, niwe na asila nawe kwani unanitunza anayenitunza ajanichoka
Nina miaka 33, Mkristo na nina watoto wawili kila mmoja na mama yake. Vipi naweza kuja?[/Q bado unapekua tu haaaaaaaaaaaaaah sitaki
kwani umelazimishwaKwa majibu haya!!
Hata wanifunge pingu siowi mwanamke wa hivi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Masharti meeeengi na vitisho as if wewe ni mwajiri wa BoT. Madness is keeping doing same thing over and over again while expecting different results.
Kwa majibu haya!!
Hata wanifunge pingu siowi mwanamke wa hivi
Ebu msaidieni huyu bidada aiseeeee.....[emoji13] [emoji13]Age ilishakuacha that's why umejaa hasira.
Uko kama mwanaume hujaolewa, ukiolewa je?
Pambana na Hali Yako Bibi