Mume anahitajika

Mume anahitajika

Nina miaka 33, Mkristo na nina watoto wawili kila mmoja na mama yake. Vipi naweza kuja?
 
Age ilishakuacha that's why umejaa hasira.

Uko kama mwanaume hujaolewa, ukiolewa je?

Pambana na Hali Yako Bibi
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Vigezo vyote ninavyo,sasa basi njoo PM kuyajenge fasta
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Kama ukijaribiwa na mume wa mtu, utamtambuaje hata usimjibu...[emoji15] [emoji15]
Ebu kuwa mtulivu and focuse kwenye kile unacho kihitaji na kukiamini. Lakini ukianza kujikata ngwala kama hivi, hautachelewa kuangukia pua aiseeee....
 
Wengine hatujui pm maana yake,nieleweshwe ,njoo mama ntakupata vipi sasa
 
we unadhani kwakuwa naitaji kuolewa nichukue kila anaye kuja siitaji ndoa ya wiki 1 au mwk 1 naitaji ndoa ya maisha

endelea kufanya mazoezi ukioa umri uo ukifika miaka 30 ulisha kuwa na wake 2 au zaidi au una watoto mama zao awajulikan wako wapi?

we anza kutaja uliolala nao kwanza kisha mi ntakutajia adi majina yao kama unataka ila usiwaloge

sina asira, niwe na asila nawe kwani unanitunza anayenitunza ajanichoka
Mkuu......
Kwa uzowefu wangu na maisha ya humu jf, na kwa majibu yako haya hauwezi mpata mume zaidi utawapata walaghai tu watakao kutumia kama daraja.
Kwa hitaji kama lako haukupaswa kujibu kila lililo ulizwa/andikwa, na haukupaswa kuruhusu povu likutoke iliu concentrate kwenye hitaji lako la msingi.
 
Masharti meeeengi na vitisho as if wewe ni mwajiri wa BoT. Madness is keeping doing same thing over and over again while expecting different results.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom