Mume anahitajika

Mume anahitajika

Mchagua naz huibukia koroma,anawez kuja wa miaka hata 40 ila ni msumbufu hatar kijan wa miak 28 anaiga,omba tuu mme kutoka kwa Mola mengine ziada.Na. machaguo yakizidi ukifika miaka 30 na kuendelea itabidi ujiunge na kwaya walau uonekane.Na hapo ndo maombi hubadilishwa na kuomba Mungu nipe yeyote mapenz yako yatimizwe.
 
Kwa majibu haya!!
Hata wanifunge pingu siowi mwanamke wa hivi
Yaani inaonekana ni hatari. unajua kuifahamu tabia ya mtu si lazima umfahamu, ni jinsi anavyo ji present hapa
 
Kama hawajakuona huko unakoishi dada huku ulikokuja ndo umepotea kabisa. Wanaume wanahisi wewe Ni masalia ndo maana unajitangaza humu. Wanasema chema hujiuza kibaya chajitembeza
 
Unaonekana enzi za usichana wako Ulikuwa jamvi la waume za watu sasa wamekuzeesha weeee unaona utafute wa kukupitisha middle aged endelea kukomba mboga fainali uzeeni
 
Dah! Watu mna mnanga kweli mleta uzi aisee..
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Wewe una umri gani?
Mimi sifa ninazo ila sipendi vitu hivi.

1.Sitaki mwanamke wa kujichubua
2.Mnywaji wa pombe
3.Mvaa mawig
4.Nguo za kuonyesha maungo yako
5.Mihereni mikubwa na Mibangili
6.Kupaka poda na lip stick

Kama una vigezo njoo pm
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Weka Picha basi tukuone jamani
 
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38
Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi.
Waume za watu sitaki, na ukinijaribu sitakujibu
Njoo dm
 
Back
Top Bottom