Mume anahitajika

Mume anahitajika

Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.

Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.

Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)

But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
weka picha yako kamili labda naweza kuvutiwa
 
Eh uhandsome naamana yangu nikiwa nimefikia stegi yakuweka nguo zangu hadharani people will want to see me.
So i need a hubby who is a good looking for show up and when you sex with him you will have more emotion.
Hahahaa mnalooo
 
Duh kazi ipo kweli kweli
 
Nimeanza kutumia hadi miwani katika kusoma. Na nimependa ulipoandika huchagui umri. Nataka uwe mke wa pili muwe na mama Nyambuge. Je, unakubali ewe [HASHTAG]#husbandseeker[/HASHTAG]?
 
Mvuto maana ake ajivute au awe anavutika au ajue kuvuta papuchi yako?
 
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye anataka nini.
Mwanaume mwenye mvuto ajue kubembeleza ajichukue kiasi fulani.
Asiependa shida asiwe anaringaringa.
Awe na kazi .
Awe mkristo.

Wasifu wangu mimi ni mzuri najitambua.
Ninakazi
Najua kujali
Ila sihongi.
Nipo serious sana.
Tena uweze kuwatayari kuja huku nilipo.

Please not this even if you want a second wife.
I will be the one.(joking)

But people seriouly i need a man in my life jamani mwenye mvuto. Sio muislamu.
Njoo in box
 
Mbona hamjiiii?
Wamekuja ila siwaelewi
Hivi is it possible to get a man like ronaldo or actors of USA.?
BECAUSE I DID NOT SEE MY MATCH ALREADY
 
Back
Top Bottom