Umri wowote?
We jifanye hujali umri atakuja bi FaizaFoxyhuwa siangalii miaka bali heshima na upendo maana hata nikikupita miaka kama huna heshima na upendo ni kazi bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binti mrembo sana faiza
huwa siangalii miaka bali heshima na upendo maana hata nikikupita miaka kama huna heshima na upendo ni kazi bure.
Kipimo cha "heshima na upendo" kipo vipi
vitendo mkuu
ukaribu wako na yeye utajua mengi na yasiwe mapenz ya kwenye simu.Sasa utajuaje kabla hujamuoa?