Mume anapatikana hapa

Mume anapatikana hapa

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
Habari wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyo sema mume anapatikana hapa kama ulikuwa unahitaji mume basi hapa umepata.
Umri wangu ni miaka 25 Kiukweli nimekuwa nikitafuta mke mwanye vigezo ambavyo navihitaji ila sijafanikiwa naimani kupitia ujumbe huu leo mke nitapata.
*Mimi ni mkristo ( msabato)
*Nimejiajiri
*Nina jitegemea kimaisha nina uwezo wa kumudu majukumu.
*Ninaupendo wa dhati

VIGEZO VYA MKE NINAE MUHITAJI
* AWE ANAWEZA KUMUDU MAJUMUKUMU YEYE KAMA MKE.
*AWE NA UPENDO WA DHATI
*AWE NA HOFU NA MUNGU
asanteni nitaleta mrejesho.
TAFADHARI NAHITAJI MKE
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]utani wa ngumi huu
We jifanye hujali umri atakuja bi FaizaFoxy
Ujue hana bwana yule bibi ohoooo.... shauri yako [emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]
Samahani FaizaFoxy natania tu shikamoo madame.. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji119]
 
Kwa hiyo wewe kwako hata kibibi fresh tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We jifanye hujali umri atakuja bi FaizaFoxy
Ujue hana bwana yule bibi ohoooo.... shauri yako [emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]
Samahani FaizaFoxy natania tu shikamoo madame.. [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binti mrembo sana faiza
 
ukaribu wako na yy utajua mengi na yasiwe mahusiano ya kwenye simu.
 
kaka usiende timna bwana hekaluni kote umekosa ,rudi kanisani muombe Mungu atakupatia
 
Back
Top Bottom