Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

Apewe tu ushauri nasaha ili ajue umuhimu wa tendo la ndoa. Kama ni mkristu aelewe kuwa tendo la ndoa ni meza ya bwana, mtu ale ashibe na aridhike. Usimtese mwenzako.
 
Back
Top Bottom