Mume anapo-support ujinga wa mkewe!!!!

Mume anapo-support ujinga wa mkewe!!!!

Kawaida ni kua you can not choose mwenzio aishi maisha gani.... But ukweli unabaki ulooweka hapa ni kweli kabisa kua haipendeza... na thou waweza ona kama wanamsimanga mgeni wao... IMO hio inatoa picha the type of people they are... Hicho kibao says Loads kuhusu Watu wenyewe... mahala wanaishi... attitude towards watu wa nje... Na lack of busara ya kuweza tafakari kua hapo wageni ni aina nyingi na wengine hawastahili kabisa waone huo ujumbe.... as much as they mean it...

Nakupenda sana AshaD, I wish i could be a ............!
 
Nikirudi hapa kesho nina full nondo. Hivi wewe unayetee aujinga kama huu una timamu ama? Kwako umeandika huu upupu ili tuanze kuwasoma watu wa sampuli nyie.

Niombeeni uzima kesho nirudi hapa
 
Back
Top Bottom