Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

Mume anapokea 1M salary kwa mwezi na mke anapokea 3M, kutakuwa na heshima kweli hapa?

Wanawake unaokutana nao ndo hela zao hawafanyii vitu vya msingi.
Wanawake wengi sahizi wanawekeza na wanafungua biashara
Wanawake wanafanye business weng Sana lakin ni kama vile ni kwa ajili ya mahitaji ya apa na pale ni ngumu Sana ukute mwanamke anafanya business kwa lengo la kutawala mifumo,na kwasababu hiyo ni ngumu Sana ukakuta eti mwanamke anakazi yake inamwingizia mshahara mzur akaanza kujihangaisha na issue zingiene zijasema haiwezekani inawezekana ila ngumu.
 
Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 8 au 9 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Huyu ni Mama watoto kabisa.
Sasahiv kanitafutia na mashine ya kunyolea nywele ananinyoa.

Na kwao kuna uwezo mara tano zaidi ya ninapotoka.

Upendo ni zaidi ya mshahara.
 
Ahh fvck

I cant do this shit man
 
Weka na tofauti ya urefu wa kamba.
Anawezapokea m 1 lakini anayo mipango anaingiza kuzidi hio 3 ya mke.
Pili hilo gape ni dogo sana kwa mke kutokukupa heshima yako.
 
Huna pesa unaoaje ndugu?

You got no business to marry anyone

Just get serious money ndio uoe!
Umeelewa lakini. The guy alikuwa na kazi an pesa nyingi kabla hata hajamuoa. Alianza kumhudumia huyo data akamua upgrade kabla hata hajamuoa. Akamuoa, akamnunulia gari life was good. Mara akafukuzwa kazi. Akaanza invest ikashindikana saving zikakata. So, alioa wakati ana ela nyingi tu.
And by the way wana maisha mazuri tu kwa standard ya mtanzania hawana shida ndogo ndogo za kusukumana kwenye daladala.
 
Ipo shida kwa wanawake wengi kipato kikiongezeka lazima abomoe familia,ndo maana Mungu awapi wengi Ili familia ziwe salama.
Wachache sana kipato kikiwa kikubwa na familia ikaendelea kuwa imara.
Wengi ni lazima wabomoe familia zao.
 
Maisha ya mahusiano lazima uishi kwa nywila, muda wowote na saa yeyote chochote kinatokea, kufikiria tofauti inasaidia hata siku nikipigwa na kitu kizito tayari nimekwishajiandaa kiakili, psychologically na kimwili hii inasaidia kupunguza maumivu na kusonga mbele.

Unakuta mtu anasomesha mchumba, baadae mchumba anamuacha, anachanganyikiwa na kujiua au kwenda kumuua mchumba.

Vijana wengi kipindi mahusino yapo kwenye peak wanajisahau kabisa hivyo nawakumbusha.
Shida hawajiandai kisaikolojia ukijiandae ni sawa na tonge la ugali limeanguka chini mwachie kuku,paka,mbwa ashughulike nalo finya jingine.
 
Umeelewa lakini. The guy alikuwa na kazi an pesa nyingi kabla hata hajamuoa. Alianza kumhudumia huyo data akamua upgrade kabla hata hajamuoa. Akamuoa, akamnunulia gari life was good. Mara akafukuzwa kazi. Akaanza invest ikashindikana saving zikakata. So, alioa wakati ana ela nyingi tu.
And by the way wana maisha mazuri tu kwa standard ya mtanzania hawana shida ndogo ndogo za kusukumana kwenye daladala.
Mkuu hivi unanielewa kweli?

Unatakiwa uwe pesa such a way that,wewe ukichacha still upo above your wife

Kama unachacha unakua chini ya your wife,u had no business marrying her to begin with.

Yaani wewe ukichacha >>>>>>>>>>your wife!

Hivi unanielewa?
 
Huyu ni Mama watoto kabisa.
Sasahiv kanitafutia na mashine ya kunyolea nywele ananinyoa.

Na kwao kuna uwezo mara tano zaidi ya ninapotoka.

Upendo ni zaidi ya mshahara.
Yaani unaishi kwa huruma ya mke?

Like,what this generation has gotten into?

Terrible
 
Mkuu hivi unanielewa kweli?

Unatakiwa uwe pesa such a way that,wewe ukichacha still upo above your wife

Kama unachacha unakua chini ya your wife,u had no business marrying her to begin with.

Yaani wewe ukichacha >>>>>>>>>>your wife!

Hivi unanielewa?
Hayo maisha wanaoweza kuya afford ni 1% of TZ population. Wengi ni kusaidiana ukichaha anakuboost. Hayo ndio maisha halisi ya 99% ya watanzania.
Hivyo wewe kama umebahatika kuwa kwenye hiyo percent shukuru. wengine ni unachacha anakuzngua mnaachana au unaachwa, wengine kama mwana fresh lilfe linaendela
 
Si kweli

Hii ni trend mnataka kuileta sasa hivi

Our parents na mababu zetu kurudi nyuma hawajawahi fanya this nonsense

Naturally only men can run faster and wrestle and kill animals na kupeleka nyumbani to feed their families

Yeye leo,unaleta feminized version,na mpo hapa mnashangalia this stupidity!

Ni very strange,grown up men wapo JF wanashangalia kutunzwa na women in their homes mnawapa majina kama "mke bora","pisi kali","wife material",etc.......like really?

Ndio tabia za weak beta males

Naturally Sio kazi yake hiyo
 
Zama zimebadilika needs za msingi zama zao zilikuwa chakula, malazi, nguo, na vitu vichache then life linasonga.
Siku hizi ni zaidi ya hayo, chakula, karo za watoto, bima ya afya, dstv, internet, gari, mambo mengi ambayo hayakuwepo. Yote hayo yanahitaji pesa kuyamudu. And mind you, si kwamba jamaa anashindwa afford lifestyle la kawaida ila wanamaintain lifestyle la mwanzo.
Maisha yanabadilika kutokana na maendeleo ya teknolojia yanatuletea demands nyingi ambazo zinageuka kuwa vitu vya muhimu ambavyo hatuwezi kuishi bila kuvitumia.
Kwa wazazi wetu maisha yalikuwa kwa kiasi fulani rahisi kuliko yetu, na maisha ya kizazi chetu yatakuwa magumu kuliko yetu.

The more innovations mankind creates to simplify life, the more complexities arise.
 
Back
Top Bottom