Dunia imebadilika... pesa zipo kwa wanawake, ingawa mwanaume ukipambana vilivyo una chance kubwa ya kumzidi mkeo sababu hubebi mimba, hunyonyeshi na pia wewe sio primary care giver wa familia.
Ifike hatua mwanaume ukae ujiulize nje ya kipato what else makes you masculine????
Tuliza akili, MWANAMKE MWENYE AKILI ANAJUA MWANAUME MPAMBANAJI NI SWALA LA MUDA KABLA MILANGO HAIJAFUNGUKA.
Mkiwa hamjatuzidi kipato ishini nasi kwa upendo, msicheat na pale majukumu ya nyumbani yanapohitaji extra hand mjitoe.
Lakini sasa ukiwa huna hela, huna ramani, una gubu, bado unataka ucheat na bado unataka uwe treated kama mfalme utakua huna akili. Sio mama yako huyo.
INFERIORITY COMPLEX NI ANGUKO LA WANAUME WENGI NA HAPO HATAHAJADHARAULIWAT