Wanawake wanafanye business weng Sana lakin ni kama vile ni kwa ajili ya mahitaji ya apa na pale ni ngumu Sana ukute mwanamke anafanya business kwa lengo la kutawala mifumo,na kwasababu hiyo ni ngumu Sana ukakuta eti mwanamke anakazi yake inamwingizia mshahara mzur akaanza kujihangaisha na issue zingiene zijasema haiwezekani inawezekana ila ngumu.Wanawake unaokutana nao ndo hela zao hawafanyii vitu vya msingi.
Wanawake wengi sahizi wanawekeza na wanafungua biashara
😂😂😂😂😂Kama mke anakubali kulala kifudifudi heshima gani nyingine anayoitaka..
Huyu ni Mama watoto kabisa.Inategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 8 au 9 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Ahh fvckInategemea aisee. Nina rafiki yangu alifukuzwa kazi mwaka wa 8 au 9 sasa mke wake anavuta kama 3 hivi. Lakini hata kwao mke wanahisi mme ndiye anaendesha familia. Alinunua gari jina la kadi la mumewe. Wakitoka mume ndiye analipa bills lakini pesa kampa mke.
Yani huwezi jua kama mke ndiye anasimamia show na mke anamkubali mmewe kinoma.
Sasa huna pesa utafanyaje? Unakimbia ndoa au unakaa nyumbani?Ahh fvck
I cant do this shit man
Huna pesa unaoaje ndugu?Sasa huna pesa utafanyaje? Unakimbia ndoa au unakaa nyumbani?
Umeelewa lakini. The guy alikuwa na kazi an pesa nyingi kabla hata hajamuoa. Alianza kumhudumia huyo data akamua upgrade kabla hata hajamuoa. Akamuoa, akamnunulia gari life was good. Mara akafukuzwa kazi. Akaanza invest ikashindikana saving zikakata. So, alioa wakati ana ela nyingi tu.Huna pesa unaoaje ndugu?
You got no business to marry anyone
Just get serious money ndio uoe!
Shida hawajiandai kisaikolojia ukijiandae ni sawa na tonge la ugali limeanguka chini mwachie kuku,paka,mbwa ashughulike nalo finya jingine.Maisha ya mahusiano lazima uishi kwa nywila, muda wowote na saa yeyote chochote kinatokea, kufikiria tofauti inasaidia hata siku nikipigwa na kitu kizito tayari nimekwishajiandaa kiakili, psychologically na kimwili hii inasaidia kupunguza maumivu na kusonga mbele.
Unakuta mtu anasomesha mchumba, baadae mchumba anamuacha, anachanganyikiwa na kujiua au kwenda kumuua mchumba.
Vijana wengi kipindi mahusino yapo kwenye peak wanajisahau kabisa hivyo nawakumbusha.
Mkuu hivi unanielewa kweli?Umeelewa lakini. The guy alikuwa na kazi an pesa nyingi kabla hata hajamuoa. Alianza kumhudumia huyo data akamua upgrade kabla hata hajamuoa. Akamuoa, akamnunulia gari life was good. Mara akafukuzwa kazi. Akaanza invest ikashindikana saving zikakata. So, alioa wakati ana ela nyingi tu.
And by the way wana maisha mazuri tu kwa standard ya mtanzania hawana shida ndogo ndogo za kusukumana kwenye daladala.
Yaani unaishi kwa huruma ya mke?Huyu ni Mama watoto kabisa.
Sasahiv kanitafutia na mashine ya kunyolea nywele ananinyoa.
Na kwao kuna uwezo mara tano zaidi ya ninapotoka.
Upendo ni zaidi ya mshahara.
Yaani this is pure nonsenseLast born. Wakati anamuoa tulidhani kapotea maana mke mwenyewe pisi kali amekaa kaa kiwizi wizi. Sema kumbe ni mke safi
Hayo maisha wanaoweza kuya afford ni 1% of TZ population. Wengi ni kusaidiana ukichaha anakuboost. Hayo ndio maisha halisi ya 99% ya watanzania.Mkuu hivi unanielewa kweli?
Unatakiwa uwe pesa such a way that,wewe ukichacha still upo above your wife
Kama unachacha unakua chini ya your wife,u had no business marrying her to begin with.
Yaani wewe ukichacha >>>>>>>>>>your wife!
Hivi unanielewa?
Wapo wenye akili?Jitahidi mke asikuzidi akili na kipato....
😄Mwaka wa kumi bado anategemea mshahara wa mwanamke? Ingekuwa bora atafute kazi au amuazime mke wake mtaji aache uboya.
Si kweliHayo maisha wanaoweza kuya afford ni 1% of TZ population. Wengi ni kusaidiana ukichaha anakuboost. Hayo ndio maisha halisi ya 99% ya watanzania.
Hivyo wewe kama umebahatika kuwa kwenye hiyo percent shukuru. wengine ni unachacha anakuzngua mnaachana au unaachwa, wengine kama mwana fresh lilfe linaendela
Zama zimebadilika needs za msingi zama zao zilikuwa chakula, malazi, nguo, na vitu vichache then life linasonga.Si kweli
Hii ni trend mnataka kuileta sasa hivi
Our parents na mababu zetu kurudi nyuma hawajawahi fanya this nonsense
Naturally only men can run faster and wrestle and kill animals na kupeleka nyumbani to feed their families
Yeye leo,unaleta feminized version,na mpo hapa mnashangalia this stupidity!
Ni very strange,grown up men wapo JF wanashangalia kutunzwa na women in their homes mnawapa majina kama "mke bora","pisi kali","wife material",etc.......like really?
Ndio tabia za weak beta males
Naturally Sio kazi yake hiyo