Mume anatafutwa

Kaburi la baba wa mtoto lipo wapi,na unayo certificate of death originol?
 
Je baba wa mtoto yuko hai? Na kama amefariki uthibitisho wa kaburi na cheti vipo?
 
Mara nyingi ni IDs mpya ndo hutafuta wenza humu!

Huwa nawaza sana kama matilaba yao ni ya dhati au la!
Labda kwa sababu Ni kitendo Cha aibu ndio maana wanaficha aibu.
Watu hujiuliza, watu watanifikiria vipi ikiwa kila idara imekamilika halafu Sina mpenzi. Mfano binti ana elimu, ana kazi, trakle lipo, ana gari, akaunti inasoma halafu Hana mpenzi hata wakumpa salamu Hana. Huyo jamii humuona Kama mchawi au ana UTI sugu.
 
Kesho 14/2 ndio wasio na wenza wataona umuhimu wa kua na mwenza, acha ule ujinga wa libabu na kabinti au kibenshit na jimama linalotia aibu.
Namaanisha wapenzi ambao hawajapishana Sana umri.
 
Duuh vigezo na masharti kuzingatiwa .ila mm napita tu dada Shemeji .
 
Una vigezo vingi sana, Naamini ukifika 35+ utapunguza masharti.

Lakini Nina sifa zote hapo, Nipo Nkuhungu upo tayari kuwa Bi.Mdogo.
 
Kaka zetu wa kichaga wamekutenda nini kibaya kiasi hicho?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila la heri,jobless naona umetu-exclude pamoja na hao wachaga.
 
Wifi kwanini umewabagua kaka zangu
 
Mara nyingi ni IDs mpya ndo hutafuta wenza humu!

Huwa nawaza sana kama matilaba yao ni ya dhati au la!
Ni swali zuri unaweza kuta ni Bi Marium aliyekuwa anajiuza Kinondoni sasa kahamia Dodoma. Changudoa akihama mkoa tu anakuwa mpya kwa wenyeji wasiomfahamu.
 
wasimbe kazini, umesubiri mileage iende ende kidogo ndio unaamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…