Mume anatafutwa

Nina Masters, Vp una Tako kubwa laini? Sifa zote nnazo ila sharti uwe mweupe umepanda hewani mrefu mwenye Tako kubwa lainiiiii
 
Nimekupenda bad lucky mimi sipo SERIOUS 😂

Kila la kheri, mungu akufanyie wepesi.
 
Single mama anayetafutaa single father wakaendelezee walipoachiwaa na wenza waooo..

Single mama c mwanamke wa kuoaa kijana km unaipenda afya ya kiujumlaa .
 
Humu wengi tumeishia latatu bibie, hicho kigezo cha elimu tayari umeshafeli
 
Mimi nina miaka 73. Naruhusiwa pia kutuma maombi? Vigezo vyote ulivyoweka, ninavyo. Kasoro elimu tu na umri. Mimi nina elimu ya darasa la nne la Mkoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…