Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Single mother,
Kipato kinachojitosheleza
Mtoto mmoja. Picha ya kaburi la baba yake tafadhali
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Sawa
 
Kwa kigezo cha ukabila umefeli kabla ya kuanza🤣
 
Back
Top Bottom