Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ni hatariWewe umejuaje km Wachagga ni wa hivyo? Ushawahi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hatariWewe umejuaje km Wachagga ni wa hivyo? Ushawahi?
Nilimchamba situlikubaliana nimsagie imeendraa hiyo saivi hatusemeshaniMamy mbona jana ukunitag kule kwa yule mshkaji aliponiita mim majina ya ajabu
Ile Namba yako mboni hupatikani hewani?Ni hatari
Naomba unitag kule ulikomchamba dear plz plz😍😍😍Nilimchamba situlikubaliana nimsagie imeendraa hiyo saivi hatusemeshani
Unanamba yangu?Ile Namba yako mboni hupatikani hewani?
Nikikumbuka postNaomba unitag kule ulikomchamba dear plz plz😍😍😍
Nikikumbuka post
Ndio hupatikani hewani kabisa au mtandaoniUnanamba yangu?
Tutajiendeleza Open University kama Mheshimiwa Eric ShigongoHamuhitajiki kwakweli
Nakutakia kila la heri unipate mimi.. nina vigezo vyote ila hapo kwenye kuajiriwa ndo pamenifelisha kukupata mtoto mkali. Ondoa hicho kigezo cha ajira kwa sababu wengine tumejiajiri.Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;
Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.
Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja
Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Nakutakia kila la heri unipate mimi.. nina vigezo vyote ila hapo kwenye kuajiriwa ndo pamenifelisha kukupata mtoto mkali. Ondoa hicho kigezo cha ajira kwa sababu wengine tumejiajiri.
Basi usimsaliti huyo ndo mmeoHajafa, ameama nchi.
Hatulei bao la mwanamume mwingineHakuna kufeli, nimefeli kwako ila sio kwa yule, being a single mother sio kizuizi kabisa. Change your mindset.
Haka ka ujumbe kachungu kama shubiri.
Why spending you valuable time, energy and hard earned money to raise a bastard?Hatulei bao la mwanamume mwenzetu
Being in a relationship with another man's baby mama yet there are so many decent women with no kids is a scarcity mindset
We hit single mamas and run