Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Nakutakia kila la heri unipate mimi.. nina vigezo vyote ila hapo kwenye kuajiriwa ndo pamenifelisha kukupata mtoto mkali. Ondoa hicho kigezo cha ajira kwa sababu wengine tumejiajiri.
 
Hakuna kufeli, nimefeli kwako ila sio kwa yule, being a single mother sio kizuizi kabisa. Change your mindset.
Hatulei bao la mwanamume mwingine

Being in a relationship with another man's baby mama yet there are so many decent women with no kids is a scarcity mindset

We hit single mamas and run
 
Hatulei bao la mwanamume mwenzetu

Being in a relationship with another man's baby mama yet there are so many decent women with no kids is a scarcity mindset

We hit single mamas and run
Why spending you valuable time, energy and hard earned money to raise a bastard?
 
Back
Top Bottom