Mume anatafutwa

Mume anatafutwa

Kuna dada singo mama hapa mtaani kila nikifika kwenye goli lake yeye ni kuwakandia wachaga na kuwatusi mara hawapendi, kumbe baba mtoto ni mchaga.
Wachaga inaonekana ni mabingwa wa kutengeneza masingle mother mtaani! Kwahiyo watoto wengi wa mitaani ni damu ya Wachaga! Kwahiyo panya Road kusaka pesa kwa mapanga/visu/bisibisi ni asili yao
 
Hujatembea wewe.
Hebu fika Tanga uone zile zinazofukizwa udi zinavyokua tight. MTU ana watoto watano lakini K inabana balaa.
Hiyo inaitwa "k" ya kichina! Siku akiacha kuifukizia uvumba inaoza na kuingia funza!
 
Hiyo inaitwa "k" ya kichina! Siku akiacha kuifukizia uvumba inaoza na kuingia funza!
Wanawake wa Tanga wako makini Sana kwenye maeneo mawili.
Ustawi wa K ikiwa ni pamoja na usafi na upishi.
Muda wote wanawaza kumfurahisha mume sio Kama wa Tabora ambao wanawaza kumpa mume limbwata au wale wa kurdi wa kaskazini ambao muda wote wanamvizia mume wamuue warithi Mali.
 
Habari zenu wana Jf,
Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo;

Umri : 34 - 40
Dini : Mkristo
Elimu : Awe na Digrii na kuendelea
Awe ameajiriwa Serikalini au Private
Kwa anayeishi Dodoma, Morogoro au DSM
ASIWE MCHAGA[emoji2]
Akiwa na watoto sawa ila asiwe ameoa kabla.
Awe na kipato kinachojitosheleza na maisha.

Sifa zangu
Umri : 33
Dini : Mkristo
Elimu: Kuanzia Degree
Kazi : Nimeajiriwa Serikalini
Naishi : Dodoma
Mtoto : Mmoja

Kwa yeyote aliye serious na maisha anakaribishwa sana.
Nilidhamiria kukuombea kwa mungu ila naona hayina haja kwa kua umeshaweka doa ktk hitaki lako.
 
Back
Top Bottom