Dick mrisho
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 303
- 568
Rip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna sababu za kumwinda mwizi wa mke wako. Ukisha thibitisha mkeo anatoka nje, usitake kupata matatizo, mfungulie mlango achukue kila kilicho chake. Kampata anaeona ni bora kuliko wewe, kumg'ang'ania matokeo ufe au uuwe. Usilazimishe kupendwa, utaishi na nyoka ndani.Yaani yeye ashindwe kumwinda mwizi wa mke wake aje aue mtu asiyehusika,Anyongwe haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Alishakufa na kifo kilisababishwa na Mapenzi..hivi ni nani alileta mapenzi
Wanasemaga yalianzia Eden. Adam na Eva.hivi ni nani alileta mapenzi
Baadhi ya house girls huwa wanaijua michepuko ya mabosi wao,tena wanapangwa vizuri ili wasitoe Siri,wengine huongezewa posho kidogo kwa kazi ya utunzaji wa siri. Nimewahi kulishuhudia hili sehemu mbili tofauti. Wadada hawa wana tabu kweli kweli,asipo mfichia mama siri basi atamfichia baba ambaye anatoka naye. Duh! Nadhani hiyo ndiyo extra duty yao, japokuwa mwisho wa siku huwagharimuBinti wa kazi na kujua mchepuko wa boss wake wapi na wapi....
Mwakalukwa, hivi ile operesheni yako ya kukamata watu wenye dalili za kutaka kujinyonga iliisha kweliii.. ! Make mpaka leo sijawahi kuja Tabora baada ya kuhisi baadhi ya dalili ulizozitaja ninazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka akukamate ?Binti wa kazi na kujua mchepuko wa boss wake wapi na wapi....
Mwakalukwa, hivi ile operesheni yako ya kukamata watu wenye dalili za kutaka kujinyonga iliisha kweliii.. ! Make mpaka leo sijawahi kuja Tabora baada ya kuhisi baadhi ya dalili ulizozitaja ninazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni death sentenceAfungwe maisha hatuhitaji watu makatili.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ambaye 'ana hatia' au ambaye 'hana hatia'?Badala ya kupambana na mgoni aliemwibia mkewe hasira kaenda kummalizia binti wa kazi ambaye ana hatia Sheriia ichukue mkondo wake R.I.P. binti
Usiwasahau na wale wa MKIRU waliodhulumiwa na magaidi wasiojulikana.Kemea pia wa tundu lissu,azory gwanda,na wengine wengi waliodhuriwa na kuuwawa na ccm
Waendelee kuelimishwa...Tabora, Shinyanga, Geita, Mara tumewachoka