Mume aua hausigeli kwa kipigo akimlazimisha amwambie mchepuko wa mke wake ni nani

Mume aua hausigeli kwa kipigo akimlazimisha amwambie mchepuko wa mke wake ni nani

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

AMEN.

Mimi nitaenda tofauti na Habari ilivyoripotiwa.

Kwa mtazamo wangu, EZEKIEL alikuwa anamtaka kimapenzi kwa ulazima Binti wa kazi, na inaelekea Binti wa kazi alikuwa na msimamo wake na hakukubaliana na matakwa ya Baba mwenye Nyumba.

Hayo mengine yote huyo Baba mwenye nyumba ni katika kujitetea.

Kwa kweli wadada wa kazi kwa baadhi ya watu wanapitia kwenye wakati mgumu sana
 
Huyu jamaa mpuuzi sana sasa kumuua mtu asiye na hatia kwa upumbavu wa mke ni ujuha. Si angemdunda mkewe tu hadi aseme?
 
Back
Top Bottom