Mume aziba nyeti za mkewe kwa gundi akimlazimisha amwambie idadi ya wanaume aliolala nao yeye alipokuwa safarini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Polisi wanamsaka mwanamume mmoja kwa madai ya kuziba sehemu za siri za mke wake na gundi kwa sababu ya kutomuamini.

Kisa hicho cha kushangaza kilitokea katika Kaunti ya Tharaka Nithi huku mwathiriwa akiwasimulia polisi namna alilazimishwa na mume wake kuvua nguo kabla ya kuanza kumhoji.

Mshukiwa huyo alimwagia pili pili, chumvi na gundi kwenye sehemu zake za siri.

Kulingana na mama huyo, mume wake aliwasili nyumbani na kutaka kujua ni wanaume wangapi ambao alilala nao wakati hakuwepo.

Katika taarifa ya polisi, mshukiwa alimuamrisha mwathiriwa kuondoka katika nyumba yao na akumpeleka katika mto uliokuwa karibu na kumuagiza kuvua nguo.

Mama huyo pia alifichua kwamba mume wake aliziba mdomo wake na masikio akitumia gundi hiyo kabla ya kutoweka. Picha: Nairobi News.

Mama huyo alifuata amri hiyo baada ya mume wake kumchapa huku akitishia kumuua kwa kumdunga kisu alichokuwa amekibeba.

“Alikataa na alianza kumchapa huku akitishia kumuua na kisu alichokuwa ameshika. Hatimaye alivua nguo zake na mshukiwa huyo alimumwagia pili pili, chumvi na gundi kwenye sehemu zake za siri huku akitumia kisu kusukuma ndani," ilisoma taarifa ya polisi.

Mama huyo pia alifichua kwamba mume wake aliziba mdomo wake na masikio akitumia gundi hiyo kabla ya kutoweka.

Aidha, polisi hawakufichua namna mama huyo aliokolewa lakini walisema kwa sasa amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya.

Source: Tuko
 
Wakati wa kukojoa atakojoa vipi? Huyo lazima akimbizwe hospitalini la sivyo atapata madhara ya kiafya. Figo zake zitaathirika shimo isipozibuliwa.
 
Hivi wakenya wana nn. Mbona matukio yote mabaya yapo kwao tu
 
Wakenya pamoja na kwamba ninyi ni watani zetu lkn,mnapaswa kukubali kuwa ninyi ni wajinga kama walivyo Wasukuma kwa huku kwetu TZ!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma siyo wajinga isipokuwa ni maskini, na umaskini wao ulianza kushamiri kwa kkasi wakati wa ubinafsishaji, baada ya migodi yote kuuzwa wakawa wanaachiwa magwangala. Migodi karibia yote mikubwaTanzania iko Usukumani na Ukuryani, au nakosea ndugu yangu? Ukiwa maskini, unaonekana kama mjinga, kumbe siyo. Jaribu kuipima statement yangu hii katika level ya familia. Linganisha familia mbili moja yenye kipato kizuri na nyingine ambayo ni ya watu maskini, halafu niambie
Zaidi ni kuwa kuna kipindi fulani huko nyuma, msukuma kula samaki wa Ziwa Victoria ilikuwa ndoto. Alikuwa anakula madude fulnai yanaitwa mapanki, yaani mabaki yale ya mifupa ya samaki, nyama zikishaondolewa. Minofu yote ilikuwa inasafirishwa kwenda Ulaya, na bado tuliendelea kuwa maskini kama Nchi!
 
doh! matukio mengine yanastaajabisha sana.
 
Kama Mkenya hata sishangai
 
Angemtafuta mtaalamu toka shirika la umeme au maji akamshauri namna ya kujua mkewe ametembea na wanaume wangapi!
 
Kenya mrungi unawaribu

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Halafu ukute mwanamke mwenyewe mmmbaayaaaaa
 
Wakenya wana mambo ya ajabu cjui wanashida gani mara wakatane mb*o yani ivi mnanini nyny wakenya...???

121.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…