Mume aziba nyeti za mkewe kwa gundi akimlazimisha amwambie idadi ya wanaume aliolala nao yeye alipokuwa safarini

Cha kushangaza huko ndiko wanakotoka wale wazee wa human rights(mabeberu)
 
Inasikitisha sana, kama mwanamke hajatulia ni kheri kumuacha tu kuliko kumuharibu hivyo...
 
Wakati wa kukojoa atakojoa vipi? Huyo lazima akimbizwe hospitalini la sivyo atapata madhara ya kiafya. Figo zake zitaathirika shimo isipozibuliwa.
Mkuu unajua mkojo wa mwanamke unapotokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…